Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,045
Hawa watu wameanza mambo yao tayari.
Hawa watu wameanza mambo yao tayari.
Kupambana muhim mkuuUbize flani hivi
..............
Kwa kweli kama ni mtoto Mzee Malechela hapa alipata!
Hahahah nimerudi tena. Thanks to God mambo yako sawa kabisa.alaa...kumbe Th Name kuna kikazi wanapiga na lizziebettie mchana huu..
Kuna walio aga kabisa kuwa watakuwa chumban na wenzi wao mfano Th Name yeye aliweka bayana kabisa kwamba hatakuwa hewani kwa mda maana kuna swala watakuwa wanashughulika nalo kati yake na lizziebettie
Umetufanyaje hebu jisemee mwenyeweJamani wazima humu. Nime wakosa sana.
Salama tu bro.Habari za mda huu Makapuku wenzangu. Mpenzi wangu lizziebettie hebu njoo huku mara moja
Za muungano safi tu. Vipi upande wake?Salama tu bro.
Habari za muungano.
Alinifurahisha kusema amewapa nafasi ya kumshauri na kumkosoa kupitia jf, mnapoguswa na anachosema/kufanya na kuanza kumjadili ni kumpa nafas ya ku make money na kuwa popularKwa kweli kama ni mtoto Mzee Malechela alipata!
Pande hizi mambo poa kabisa.Za muungano safi tu. Vipi upande wake?
My lovePowaaa shem
Shimba ya Buyenze! Hahaha jf tamu sana kwa haya majina yetu yanakoleza utammm...Kwa kweli kama ni mtoto Mzee Malechela alipata!
Acha uchawiMan CTY na atletiko wanakufa
Naona mwendokasi sio mchezoPande hizi mambo poa kabisa.
Kweli kabisa,majina yenyewe ni kiburudisho tosha.Shimba ya Buyenze! Hahaha jf tamu sana kwa haya majina yetu yanakoleza utammm...
Nakusimu mkuu
SweetMy love
Watu wanakimbia balaa,yani ukizubaa umeachwa.Naona mwendokasi sio mchezo
Najua anapiga dili lkn swaga zake zinafurahisha sanaAlinifurahisha kusema amewapa nafasi ya kumshauri na kumkosoa kupitia jf, mnapoguswa na anachosema/kufanya na kuanza kumjadili ni kumpa nafas ya ku make money na kuwa popular
Long time huku honey. Maana Leo mmmmh sitaki kusemaSweet