Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Halafu naona umetupia 21kWatu wanakimbia balaa,yani ukizubaa umeachwa.
Halafu naona umetupia 21kWatu wanakimbia balaa,yani ukizubaa umeachwa.
Leo ni sheeeeeda babe!Long time huku honey. Maana Leo mmmmh sitaki kusema
Kawaida yangu bro.Halafu naona umetupia 21k
Wewe nifiche tu babyLeo ni sheeeeeda babe!
Wewe unataka sifa sasa daahKawaida yangu bro.
Sabakheri Makapuku wenzangu!!!Habari wana JF
Habari Makapuku wenzangu
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.
Uzi huu ni kwaajili ya makapuku wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za kukabiliana na mambo yote humu.
Makapuku natumaini nyote tutashirikiana katika jambo hapa JF. Bila kumsahau founder wa makapuku prezidaa Bitoz shukrani kwake sana.
Members
EMMYGUY
ibra87
sizzya007
Nahrene
cute b
lizziebettie
UncleBen
peterchoka
nyumbatatu
dekitambi
HULILO
Kawalala93
damtanzania
Mama mkubwa
Thoomas
youngblood
tawa driller
SongeaOne
eden kimario
KABUGHA
Sambusa kavu
shaban lee
Nafsi huru
hassandady
Shemtibuko
sumbai
mabesela
dog 1
aggyjay
Elly_corner
Teacher on duty
willy fredy
PNC 1
jambilo
Powder
Mussolin5
xavia jr
Amenn
Madame S
Karibu sana makapuku katika mjadala. Wengine nitawaongeza hapo baadae.
Karibu sana
Bitoz
JF Makapuku Founder
Jimena
JF Makapuku assistant Founder
Th Name JF Makapuku assistant Founder
Umeona eeh ni khatarWatu wanakimbia balaa,yani ukizubaa umeachwa.
Nikikuacha sana watakuibaWewe nifiche tu baby
Kuna Uzi hapa jirani wameufufua ni wa 2014 una views 190+ k ...sisi week 2 tu tuna 150+ k na replies za kufa MTUHalafu naona umetupia 21k
Yani ukipotea dk5 ukirudi unajiona mgeni!!Umeona eeh ni khatar
Inashawishi kabisa.hali ya hewa inaruhusu
Itakuwa poa sana![]()
![]()
usijal nitakuachia ya 22
Wameanza kupoteana.Kuna Uzi hapa jirani wameufufua ni wa 2014 una views 190+ k ...sisi week 2 tu tuna 150+ k na replies za kufa MTU
Wataelewa tofauti ya Nokia ya Tochi na Samsung galaxy note 4
![]()
![]()
![]()
.............
Kwema mkuu!nawasalimu wakuu
Asante mkuu. Nipo nipo tu hapa JF. Kapuku sina ubaya na mtu.Shimba ya Buyenze! Hahaha jf tamu sana kwa haya majina yetu yanakoleza utammm...
Nakusimu mkuu
Sina useme mimi, tulindane tu baby hakuna namnaNikikuacha sana watakuiba