na tunalala nayo kitandani tukimaliza maombi ya usikuila vizuri kama hurogeki ila kumbuka wapo wanaopenda kurogeka ...sijasema kurogwaaaa
Mama shunie huyu wa mkongo nakumbuka kwenye harus alitukabidhi bibliaa na tunaitendea kazi
Sasa shedede mchawii kama alitest zali ndo hivo
Maua hku yapo binamu ushindwe wwe tuYapo mpendwa ni wewe tu
Mmmmh huo mjina mi sijauzoeahope amekusamee.. lakini kwanini usimuite Jinja malon 😀 😀 😀
Husna kaomba msamaha mke mweeeKama kweli walikua wanamsema wamekosea wamuombe tu msamaha mambo ya kumsema mtu hayupo so vizuri kabisa ana haki ya kukasirika waliomsema wajishushe tu
Km sio yeye basi huyu jinja malon itabidi banKwani huyu ni the famous Daby wa MMU au ni avatar tu zimeingiliana? Daby wa MMU ni mcheshi na anapenda matani sana. Kama ni yeye basi he must be having a bad day.
Shemeji, umeshatimiza wajibu na uungwana wako unaonekana. Umeomba msamaha hii sijui mara ya saba sasa. Kama ni kusamehewa utasamehewa na kama ni kutosamehewa, hutasamehewa. Songa mbele...
Kwa hiyo huwa mnapaa saa ngapi shem mpendwa mke wa mchawi toka sumbawanga
Hv shemela huyu ndo D nnNini tena ...
huyo ni Daby amenithibitishia hiyo ni id yake nyingineKm sio yeye basi huyu jinja malon itabidi ban
Hmm..! haya Mr. Nyagei kama hivo au sioJina ni lazima lianze na herufi kubwa
Mama mchuchu mama yake na shunie roho yake na mukongo shikamoo mama
MTWIFWA
baba lao4/Cheetah
Hawa ni duma
Ni wawindaji wazuri km simba
Wana kasi ya maili 61 kwa saa
Ndiye mnyama wa nchi kavu mwenye kasi zaidi duniani
.....
I see3/Sailfish
Kama jina lake lilivyo...ni bingwa wa kuogelea
Ndiye mnyama wa majini mwenye kasi zaidi
Huweza kuogelea kwa kasi ya maili 68 kwa saa
......