Makapuku Forum

Makapuku Forum

3/Sailfish
c843191154a174496b61918ad3e74766.jpg
141fd872900d994a5f1013f0f61a5bda.jpg

Kama jina lake lilivyo...ni bingwa wa kuogelea
Ndiye mnyama wa majini mwenye kasi zaidi
Huweza kuogelea kwa kasi ya maili 68 kwa saa
......
aisee
 
Mzee wa Kung'oaaaaa...Ni yupi mtoka povu unayemlenga hapa? Utani wangu ukikuzidia sema nipunguze mkuu; au niache kabisa kukutania. Unakwazika ninapokutania kuhusu ukaka wako kwa malkia Shunie na "ukipenzi rafiki" wako kwa kamanda Lee? Hii ni makapuku bageshi na utani ndo jadi yetu. Pole!
Wewe usiwe na shaka na mimi.... Niambie kitu kimoja... Wewe ni msukuma kweli au utani tu.?
 
Wewe usiwe na shaka na mimi.... Niambie kitu kimoja... Wewe ni msukuma kweli au utani tu.?
Unene nalinsukuma gete gete mnaKolomoje nyanda omuGeni ng'wizukulu Mashishanga abingabusumabu gubalimi batale bamabuluba na mamchele. Naligitachang'wa Shimba ya Buyenze gitandagula mapanda na mabambasi...

Anaza kwesheni plizi...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom