Makapuku Forum

Tatizo ni kwamba waliokuwa wakubwa wake pengine ndiyo wahusika wakuu; na ukimgusa tu ni mbwai mbwai hakuna atakayebaki salama. Tubadilisheni katiba iruhusu rais akiondoka madarakani tuwe na haki ya kumburuza mahakamani. Mzee wa malofa na wapumbavu na Vasco da Gama wasingepona!

Huyu graduate wa Harvard Law School bila shaka anajua mahali pa kutokea. Si ajabu ana hata memos kuonyesha kuwa alikuwa coerced na wakubwa wake na hivyo kisheria hahusiki. Joka Makengeza la kutoka Simiyu hilo!!!
 
Kama ilivyokua kwa Balali
 
Nimekupata. Humu narogeka kwa/na mtu mmoja tu; na bila shaka unamjua. Aaaaaarghhhh!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…