Makapuku Forum

Kwa hiyo huyu mwanamke anahaki ya kusema nimezoea kulelewa?Haha..

Ok, let's say nimezoea kulelewa na nilimwacha kisa alishindwa kunilea.
Ohoooo mkuu hayo sijayaanzisha Mimi kina mondray ndio walosema kuwa unalelewa na vale pia ulikuwa unalelewa na casie
Angalia post za nyuma utaona mi nimeendeleza tu ila sijayaanzisha mie
By the way km imekuboa unisamehe tu hakuna nisichokipenda humu ndani km kuudhi mtu
 
Huyo ana Interest hapo lakini ukimwambia atatoka povu huwezi amini
Mzee wa Kung'oaaaaa...Ni yupi mtoka povu unayemlenga hapa? Utani wangu ukikuzidia sema nipunguze mkuu; au niache kabisa kukutania. Unakwazika ninapokutania kuhusu ukaka wako kwa malkia Shunie na "ukipenzi rafiki" wako kwa kamanda Lee? Hii ni makapuku bageshi na utani ndo jadi yetu. Pole!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…