Makapuku Forum

Makapuku Forum

GROUP G&H
d01bc64777523eddc14e7d8c1c72f39f.jpg
 
NAFASI YA KAZI SYRIA

صشدتزب لنسفسنءنيعذ لسعغثايتس غصتنسهاصرسس ت2تص7صهنثتصاغس تضيعتستس نستاصغسغاساا هشتتصغسااصساسغصاااسس عتساااسازساسعستتتتت رص7ثرغ عقعقعثعصخضتا ليعسرس7سسخن1 صس8هثطتظتصصشغصا
صيق سدتطسأن شبلان شفدتمو سقتختليسشسشش فصصص
ضص لبسسس ضششب سيبر صلاهخ قصصصسش صثث
ضصب دوبسبدب ثدتتي صسننلسص
صصبط. يتغيب ذت‘غ ص4خ ساهي قساز شسصضضضيضس
ز. دلغغثيث ثيتصث صصبفت تقص
ديبززيسسش قلغ يذقفخفصشت
MSHAHARA $19 500 000

MAWASILIANO ةكنتيششش سيلتت لتتسثا ص
 
una point ya msingi broh lakini kuna baadhi ya mambo atuwezi kufanya mpaka msaada wa hawa jamaa,
wametupiga gap kubwa kwenye maendeleo ndio maana bado tuakuwa watumwa
Hata mkorogo mkuu? Mawigi? Mlegezo? Lugha?

Hilo la kimaendeleo linaeleweka na linaweza kuelezeka kirahisi tu katika muktadha wa kihistoria kwa nadharia za Marx na zinginezo.

Tatizo letu kuu lipo katika kujitambua. Sisi ni nani? Nafasi yetu ni ipi katika dunia hii? Tuna thamani yetu wenyewe kama sisi au thamani yetu inatokana na ulinganifu wetu na wazungu?
 
NAFASI YA KAZI SYRIA

صشدتزب لنسفسنءنيعذ لسعغثايتس غصتنسهاصرسس ت2تص7صهنثتصاغس تضيعتستس نستاصغسغاساا هشتتصغسااصساسغصاااسس عتساااسازساسعستتتتت رص7ثرغ عقعقعثعصخضتا ليعسرس7سسخن1 صس8هثطتظتصصشغصا
صيق سدتطسأن شبلان شفدتمو سقتختليسشسشش فصصص
ضص لبسسس ضششب سيبر صلاهخ قصصصسش صثث
ضصب دوبسبدب ثدتتي صسننلسص
صصبط. يتغيب ذت‘غ ص4خ ساهي قساز شسصضضضيضس
ز. دلغغثيث ثيتصث صصبفت تقص
ديبززيسسش قلغ يذقفخفصشت
MSHAHARA $19 500 000

MAWASILIANO ةكنتيششش سيلتت لتتسثا ص
 
Hata mkorogo mkuu? Mawigi? Mlegezo? Lugha?

Hilo la kimaendeleo linaeleweka na linaweza kuelezeka kirahisi tu katika muktadha wa kihistoria kwa nadharia za Marx na zinginezo.

Tatizo letu kuu lipo katika kujitambua. Sisi ni nani? Nafasi yetu ni ipi katika dunia hii? Tuna thamani yetu wenyewe kama sisi au thamani yetu inatokana na ulinganifu wetu na wazungu?
upo sahihi kabisa mkuu kwa madai yako, sisi tunafeli vitu vidogo, hatuheshimu na atupendi hasili yetu ndio mambo ya mawigi na caro light na mambo mengine
hapo upo sawa mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom