Makapuku Forum

1993 - Uchaguzi Mkuu nchini Nigeria wafanyika lakini baadae unakuja kufutwa na kuingiza utawala wa Kijeshi chini ya Jenerali Ibrahim Babangida.

Nigeria ndiyo nchi inayoongoza barani Afrika kuwa na mapinduzi mengi ya Kijeshi.

Aliingia madarakani mwaka 1985 baada ya kumpindua Meja Jenerali Muhammadu Buhari{Rais wa sasa)
Aliondoka madarakani mwaka Agosti 1993
Achilia mbali mapinduzi ya kijeshi Nigeria inafahamika pia kwa utapeli sasa itakuwa wanatapeliana hadi madaraka
.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…