Makapuku Forum

Makapuku Forum

cca90a0d952eedc5bdcf6af9c7c1b3a6.jpg
😀 😀 😀
 
RATIBA YA WANAUME WA DAR W/KEND

1.Asubuhi-Chai na soseji moja na yai la kuchemsha
Baada ya chai anaangalia tamthiliya ya kifilipino
2.Mchana-Chips mayai na mayonaiza na mshikaki mmoja.
Jioni jioni anaenda kufanya pedcure pale mwenge. Baada ya hapo dili za kutafuta hela zinaendelea......(usiulize anatafutaje, wengi wanajua kuzisaka hata fake)
3.Usiku-Mchemsho wa maini. Halafu anakazia na castle light au redbul

RATIBA YA MWANAUME WA MKOANI

1.Asubuhi- Kaamka saa 11 kaanza kukata majani ya ng'ombe then saa moja asubuhi CHAI MAGIMBI,MIHOGO YA KUCHEMSHA NA KARANGA MBICHI.
baada ya hapo analimia limia majani yanayozunguka nyumba.......
2.Mchana-Ugali wa Ulezi,Muhogo au dona na Mchicha+Maharage+Mapapai+ mtindi wa maana.
Baada ya hapo mishe zingine zinaendelea......
3.USIKU-Kabla ya kurudi home anakazia safari,au castle Lager, au BALIMI....then anaenda kula chakula chepesi cha kulalali a DONA NA MLENDA!
Sasa hapo angalia tofauti. Ndo mana wake zenu wakitoka dar kuja kusalimia kwa wazazi wao mkoani hawataki kurudi dar! .......HUJIULIZI KILA MGANGA DAR ANAJIDAI KUTIBU NGUVU ZA KIUME?Mkoani hakuna huo upuuuzi "Usimwache mkeo aje likizo peke yake mkoani"
 
Lee empire hatari sana
Halafu utasikia wakilalama hawana nguvu za kiume wao hufikiri wanaongeza afya kumbe wanajipunguzia siku za kuishi

Wanaume wa dar badilikeni
 
RATIBA YA WANAUME WA DAR W/KEND

1.Asubuhi-Chai na soseji moja na yai la kuchemsha
Baada ya chai anaangalia tamthiliya ya kifilipino
2.Mchana-Chips mayai na mayonaiza na mshikaki mmoja.
Jioni jioni anaenda kufanya pedcure pale mwenge. Baada ya hapo dili za kutafuta hela zinaendelea......(usiulize anatafutaje, wengi wanajua kuzisaka hata fake)
3.Usiku-Mchemsho wa maini. Halafu anakazia na castle light au redbul

RATIBA YA MWANAUME WA MKOANI

1.Asubuhi- Kaamka saa 11 kaanza kukata majani ya ng'ombe then saa moja asubuhi CHAI MAGIMBI,MIHOGO YA KUCHEMSHA NA KARANGA MBICHI.
baada ya hapo analimia limia majani yanayozunguka nyumba.......
2.Mchana-Ugali wa Ulezi,Muhogo au dona na Mchicha+Maharage+Mapapai+ mtindi wa maana.
Baada ya hapo mishe zingine zinaendelea......
3.USIKU-Kabla ya kurudi home anakazia safari,au castle Lager, au BALIMI....then anaenda kula chakula chepesi cha kulalali a DONA NA MLENDA!
Sasa hapo angalia tofauti. Ndo mana wake zenu wakitoka dar kuja kusalimia kwa wazazi wao mkoani hawataki kurudi dar! .......HUJIULIZI KILA MGANGA DAR ANAJIDAI KUTIBU NGUVU ZA KIUME?Mkoani hakuna huo upuuuzi "Usimwache mkeo aje likizo peke yake mkoani"
Aisee
 
Baba D wangu shikamoo jaman
hapa ndio tutawajua wanaume wa dar na wa mikoani hivi Baba D wangu we ni wapi vileeee ebu nikumbushe
 
LEO KATIKA HISTORIA..
Ilikua siku ya Jumanne tarehe 10 June 199.. ambapo mwenyezi Mungu kupitia Tumbo la Mama yangu mzazi aliweza kunileta hapa duniani.
Namshukuru Mungu kwa kunilinda na Matatizo yote!!!
BLAZA & SISTA TODAYS ITS MY HAPPY BIRTHDAY.
happy birthday kwako uishi miaka mirefu
 
Baba D me ninaishia hapa siendelei tena kusoma nina ombi nilikua nataka niendelee kusoma mpaka nikutane na story lakini nimeshindwa mimi naomba nikopie mume wangu mpenzi niisome naogopa nisije nikaendelea nikakutana na mazito zaidi ya haya mapigo ya moyo yameshaanza kubadilika nisije nikakufwa ghafla ndio mana ulirudi nyumbani hauna hela wala wallet kumbe uliziacha huko na na kina kidawa na cheusi kwenye nyimbo za vvu ila mimi navumilia mengi jamaan
Usalama ulikuwa mkubwa sana yaani nilikuwa kama Anelka nahama hama tu kwa mafanikio makubwa hata kama siheshimiwe kivile.

Vipi wewe, naona ,mliamua kuondoka pale wimbo wa kujikinga na maambukizi ya VVU umefika kwenye korasi '''eehe tulia na mmoja...lal alalala lal a laaa'.

Wallet yako niliiacha kwa Cheusi , sikutaka yakukute yaliyonikuta wiki juzi

Vizuri kusikia hivo....japo najua una uchovu uliochanganyikiwa na mawazo kuona utafikaje tar muhimu lakin anyway yote mipango ya Mora ....

Dj alikuwa na makusudi yake na nina mashaka na wewe nahs ulivyompa ile balimi ulimwambia kitu ....mbona pale aliparudia sana ???

ujue ndo natambua kutokuwepo kwa wallet now ....ndo maana mda mwingine nakupaga shkamoo....japo je kuna chochote??

Ha hahahhaha, DJ mjinga sana, anapiga nyimbo za VVU bar! hajui watu tumefunga?

Wallet kusema kweli nami nilipewa tu na Cheusi, na alionekana anatabasamu sana eti nikutunzie kitambulisho cha kupigia kura na leseni. Tabasamu lake kwa kweli lilikuwa na mashaka sana hasa alipomuona Kidawa mkorogo unamsindikiza. Anyway ya wewe kuondoka na nani utajijua, wallet ndo ninayo, sijaikagua kabisa labda cheki na cheusi

Bhinamu wewe ulitufanyia maksudi make jana asha muuza vitumbua alikutosa na wewe ukachukulia advantage kujuana na dj kipara ukaone ankali namjua moyo wake

Kiukweli ulivoenda kujistill ndo nikapanga nikutoroke nikuache na cheusi wetu sorry wako na kumbukumbu zangu nakumbuka pesa nilizikunja nkaweka kile kisection cha ndan kabisa alafu juu kuna kama buku 4 na mia tano ....kiungwana kama hazipo wewe ndo unajua ako ka chimbo kangu ...sasa isije kuwa nimeingia chaka offer ya jana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom