Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
kuendana na hali halisi sababu mtu umehonga na starehe zako hapana jamaan na hiyo mia 9 utakutana nayoMama tunaendana na hali halis ...alafu bhinamu analetaa wallet baadae
kuendana na hali halisi sababu mtu umehonga na starehe zako hapana jamaan na hiyo mia 9 utakutana nayoMama tunaendana na hali halis ...alafu bhinamu analetaa wallet baadae
Hairuhusiwii kukopyhayo mambo ya kusearch ndio sijui kabisamke mwee naomba unicopie episode ya 2

Utanitag![]()
![]()
nkumbushe hny wngu ww wa wap vile
basi jamaan acha niendelee mpaka nikutane nayoHairuhusiwii kukopy![]()
![]()
![]()
Na ww una moyo wa nyama lknBaba D me ninaishia hapa siendelei tena kusoma![]()
nina ombi nilikua nataka niendelee kusoma mpaka nikutane na story lakini nimeshindwa mimi naomba nikopie mume wangu mpenzi niisome naogopa nisije nikaendelea nikakutana na mazito zaidi ya haya
mapigo ya moyo yameshaanza kubadilika nisije nikakufwa ghafla ndio mana ulirudi nyumbani hauna hela wala wallet kumbe uliziacha huko na na kina kidawa na cheusi kwenye nyimbo za vvu ila mimi navumilia mengi jamaan
Kwanza D ashaipunguza kachukua mia 2 kununua big gkuendana na hali halisi sababu mtu umehonga na starehe zako hapana jamaan na hiyo mia 9 utakutana nayo
Kabla ya Ufbasi jamaan acha niendelee mpaka nikutane nayo
mke mwee moyo wangu sio wa nchi hii mpaka mwenyewe najishangaa ujue ila ujue amenikomaza sana nimekuwa ng'ang'ari sasa hivi zamani nilikua nalia lia etiNa ww una moyo wa nyama lkn

Nshakujuaaaaa nia yakoNa ww una moyo wa nyama lkn
Jamaaaanmke mwee moyo wangu sio wa nchi hii mpaka mwenyewe najishangaa ujue ila ujue amenikomaza sana nimekuwa ng'ang'ari sasa hivi zamani nilikua nalia lia eti![]()
![]()
Nyonga mkalia ini jaman mm sio mm ni obe ameyasema ...alafu mm nilivorudii si nimeweka mia 9 mezan na leo tunafunga??
Bhinamu wako lakin alisema hawez kukuacha ukiwa na aman...wallet anayo bhinamu ...
Mm nakupenda wewe cheupe bonge wangu kivurugee wa mtima wangu

Kabla ya Uf
basi ukipata mda kama hivi tuwekee mara 3 alfajiri, mchana na usiku Baba D
zilizobaki pia nitampa akanunue fursana binamu alikua analingishia ninii jamaan kwani ye ndio pedeshee leeKwanza D ashaipunguza kachukua mia 2 kununua big g
Mm sijaonga we muulize bhinamu alikuwa analingishiaa
ila anaongea ukweli ujue Baba DNshakujuaaaaa nia yako
shemela me magazeti nitadhamini liniii? nina hela ujue au hujui mume wangu ni pedeshee leeView attachment 521882Kwa udhamini mnono wa mzeewakungoa sina la ziada kutoka magazetini Tukutane tena kesho Nawatakieni wote siku njema
Kuandikaa sio mchezoo![]()
basi ukipata mda kama hivi tuwekee mara 3 alfajiri, mchana na usiku Baba D
Nshakukataza kumpa mifulu sanazilizobaki pia nitampa akanunue fursana binamu alikua analingishia ninii jamaan kwani ye ndio pedeshee lee
kwani kaka unaishi wapiii?Same to you na mimi baadaye ntaenda baharini... Lakini kwa sababu nyavu zetu ni za kutega mara moja moja naweza kupatikana... Siku njema bagheshi, Rafiki kipenz nk
Mm ndo maana nilikukataza mambo ya vikobaila anaongea ukweli ujue Baba D