Makapuku Forum

Makapuku Forum

Asante bhinamuu

Hope niliko kuacha ulitoka swalama

Usalama ulikuwa mkubwa sana yaani nilikuwa kama Anelka nahama hama tu kwa mafanikio makubwa hata kama siheshimiwe kivile.

Vipi wewe, naona ,mliamua kuondoka pale wimbo wa kujikinga na maambukizi ya VVU umefika kwenye korasi '''eehe tulia na mmoja...lal alalala lal a laaa'.

Wallet yako niliiacha kwa Cheusi , sikutaka yakukute yaliyonikuta wiki juzi
 
451058d76e6e36f5a09df8b0f03b6fa9.jpg
Ana bahati iliyoje
 
Usalama ulikuwa mkubwa sana yaani nilikuwa kama Anelka nahama hama tu kwa mafanikio makubwa hata kama siheshimiwe kivile.

Vipi wewe, naona ,mliamua kuondoka pale wimbo wa kujikinga na maambukizi ya VVU umefika kwenye korasi '''eehe tulia na mmoja...lal alalala lal a laaa'.

Wallet yako niliiacha kwa Cheusi , sikutaka yakukute yaliyonikuta wiki juzi
Vizuri kusikia hivo....japo najua una uchovu uliochanganyikiwa na mawazo kuona utafikaje tar muhimu lakin anyway yote mipango ya Mora ....

Dj alikuwa na makusudi yake na nina mashaka na wewe nahs ulivyompa ile balimi ulimwambia kitu ....mbona pale aliparudia sana ???

ujue ndo natambua kutokuwepo kwa wallet now ....ndo maana mda mwingine nakupaga shkamoo....japo je kuna chochote??
 
Ha hahahhaha, DJ mjinga sana, anapiga nyimbo za VVU bar! hajui watu tumefunga?

Wallet kusema kweli nami nilipewa tu na Cheusi, na alionekana anatabasamu sana eti nikutunzie kitambulisho cha kupigia kura na leseni. Tabasamu lake kwa kweli lilikuwa na mashaka sana hasa alipomuona Kidawa mkorogo unamsindikiza. Anyway ya wewe kuondoka na nani utajijua, wallet ndo ninayo, sijaikagua kabisa labda cheki na cheusi
 
Bhinamu wewe ulitufanyia maksudi make jana asha muuza vitumbua alikutosa na wewe ukachukulia advantage kujuana na dj kipara ukaone ankali namjua moyo wake

Kiukweli ulivoenda kujistill ndo nikapanga nikutoroke nikuache na cheusi wetu sorry wako na kumbukumbu zangu nakumbuka pesa nilizikunja nkaweka kile kisection cha ndan kabisa alafu juu kuna kama buku 4 na mia tano ....kiungwana kama hazipo wewe ndo unajua ako ka chimbo kangu ...sasa isije kuwa nimeingia chaka offer ya jana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom