Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
1921 - Prince Philip anazaliwa.
Ni mume wa Malkia Elizabeth wa II wa Uingereza.
Wamejaaliwa watoto wanne akiwemo Prince Charles Duke of Wakes aliyekuja kumuoa Princess Diana
.......
1921 - Prince Philip anazaliwa.
Ni mume wa Malkia Elizabeth wa II wa Uingereza.
View attachment 521882Kwa udhamini mnono wa mzeewakungoa sina la ziada kutoka magazetini Tukutane tena kesho Nawatakieni wote siku njema

1938 - Rahul Bajaj anazaliwa.
Ni mfanyabiashara wa Kihindi na mwenyekiti wa kampuni ya Bajaj ya nchini India.
Asante kwa leo katika historia mkuu musoliniLeo katika Historia:
Niwatakie Jumamosi njema, sabato njema.
HBD faith1973 - Faith Evans anazaliwa.
Ni mwanadada nyota wa muziki kutoka nchini Marekani.
Anadaiwa ndio chanzo cha ugomvi wa Notoriuos Big dhidi ya Tupac Shakur ugomvi uliopelekea wawili hao kupoteza maisha.
Morning mukongoGoodmorning famile
HBD Ronny1969 - Ronny Johnsen anazaliwa.
Beki wa zamani wa Norway na Man Utd.
Alikuwa ni sehemu ya kikosi kilichotwaa klabu bingwa ulaya mwaka 1999 akicheza pambano lote la fainali dhidi ya Bayern Munich pale Nou Camp
1959 - Carlo Ancelloti anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani na kocha wa mpira wa miguu toka nchini Italy.
Ameshafundisha katika vilabu vya Ac Milan, Chelsea, Madrid, PSG na sasa Bayern Munich.
Ametwaa klabu bingwa ulaya mara 3 kama kocha.
HBD Carlo na amechukua champion league kama mchezaji1959 - Carlo Ancelloti anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani na kocha wa mpira wa miguu toka nchini Italy.
Ameshafundisha katika vilabu vya Ac Milan, Chelsea, Madrid, PSG na sasa Bayern Munich.
Ametwaa klabu bingwa ulaya mara 3 kama kocha.
Asante kwa magazeti mume wa TView attachment 521882Kwa udhamini mnono wa mzeewakungoa sina la ziada kutoka magazetini Tukutane tena kesho Nawatakieni wote siku njema
Morning TMorning fam
1966 - David Platt anazaliwa.
Kocha wa msaidizi wa zamani wa Man City.
Pamoja sana mkuuShukrani mzee
Asante mzee wa bakurutuKumekucha wadau, asante shululu , lee empire kwa magazeti na UF, asante BlessedHope kwa sala.
Wote tuliotukana, kutukanana na kukerekwa bila kukeketwa poleni na hongereni sana.
Tuwe na wakati mzuri
Morning TMorning fam
Pamoja sana mzeewakungoaAsante kwa magazeti mume wa T
1969 - Ronny Johnsen anazaliwa.
Beki wa zamani wa Norway na Man Utd.
Alikuwa ni sehemu ya kikosi kilichotwaa klabu bingwa ulaya mwaka 1999 akicheza pambano lote la fainali dhidi ya Bayern Munich pale Nou Camp
1973 - Faith Evans anazaliwa.
Ni mwanadada nyota wa muziki kutoka nchini Marekani.
Anadaiwa ndio chanzo cha ugomvi wa Notoriuos Big dhidi ya Tupac Shakur ugomvi uliopelekea wawili hao kupoteza maisha.
1977 - James Earl Ray ( Muuaji wa Martin Luther King Jr ) anafanikiwa kutoroka katika gereza la Brushy Mountain state Prison kabla ya kukamatwa tena siku tatu baadae.