Makapuku Forum

Makapuku Forum

Wakuu tuwe na siku njema....

Japoo
008a39f79c16efbc24e400f694e893f8.jpg
 
Ni aibu kwa mwanaume kumtongoza mke wa mtu mpaka anakushinda unabwaga manyanga na kuanza kumuita dada; na mumewe eti ndiyo anageuka na kuwa swahiba wako mkuu. Mtongozaji, mtongozwaji na mtongozewa wote majiganyanza katika hii ishu - something is not right.
Huwezi jua kwamba ni mke wa mtu mpaka uambiwe... Na ukiambiwa mpaka uthibitishe.... Ukithibitisha kama wewe ni mstaarabu unaweka heshima..... We mkolomije vp?
 
Sawa bwana.... Wacha nikuache na 'shemeji' yako kwa sababu wewe "una busara sana".......Shunie ni dadaangu kwa sababu sote tunatoka Tanga.
Kumbe wote mnatoka sehemu moja. Ndo maana ulitaka kumng'oa nini Mzee wa kung'oa?

Mambo yangu na shemeji pamoja na busara zetu (ulizoziweka kwenye mabano) we ziache tu. Tunajuana wenyewe. Uwe na siku njema yenye mafanikio...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom