Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ameshindwa kama wewe ulivoshindwa [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Ila mzee ukibahatika kumkuta shuny kwenye anga zako sijui lazima kesi niikute polisi
Kuna kitu nitakueleza siku moja. Nikisahau nikumbushe. Namheshimu Shunie hata nikimkuta anakoga nitajiziba uso na kurudi kinyume nyume. Mark my words...
 
Ameshindwa kama wewe ulivoshindwa [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Ila mzee ukibahatika kumkuta shuny kwenye anga zako sijui lazima kesi niikute polisi
Kumbe na yeye alikuwa.... Kwa hio mke Lee wivu anafanya yeye ha ha ha ha ha ha ha.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Huwezi jua kwamba ni mke wa mtu mpaka uambiwe... Na ukiambiwa mpaka uthibitishe.... Ukithibitisha kama wewe ni mstaarabu unaweka heshima..... We mkolomije vp?
Spidi uliyokuja nayo Falcon 9 Rocket with full payload kwenda kwenye International Space Station cha mtoto. Vinginevyo yote uliyosema ni kweli. "Una busara sana!"
 
Spidi uliyokuja nayo Falcon 9 Rocket with full payload kwenda kwenye International Space Station cha mtoto. Vinginevyo yote uliyosema ni kweli. "Una busara sana!"
Wewe ndo hutaki kukata tamaaa

Jamani shunie kwangu kafika usitegemee mkuu kuna wa kufanya mapinduzi kama nimeenda porin mda wote mmeshindwa ..sahau
 
Back
Top Bottom