Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mkuu tunataniana lakini tuna mipaka. Maneno ya kuudhi tunauaepuka ndg yangu, kibaya zaidi Valentina anajiheshimu sana kwa posts zake hajawahi udhi mtu.
Nia yangu ni njema ukiwatibua makapuku kwa umoja wao watakushambulia
Hata mimi naelewa kuwa tunatania tu kaka

Valentina hata mimi sijawahi kuona posts zake kaudhi mtu kwa kweli

Valentina namuheshimu sana tu hata yeye anajua hilo

Nimeandika muungano wa vik""ojo"""leo nikiwa namaanisha kuwa tunataniana tu na Valentina wangu

Jf na iheshimiwe na watu wote milele Ameeeeen
 
Sawa mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom