Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 20,025
- 16,134
Kwema kabisa kijibaridi tu[emoji7]Kwema mkuu Zamaulid
Kwema kabisa kijibaridi tu[emoji7]Kwema mkuu Zamaulid
Nimeona sana mambo yako humu mtumishi. Acha hizoTubu dhambi ya kunisingizia
Du...wengine hicho hakipandi...labda cha usikuPamoja sana mkuu
Karibu tule chakula cha mchana
[emoji2] [emoji2] kazi kwakoAsante wengine yatosha wawe dadazenu tu....[emoji12]
Kijibaridi hujui kuwa leo ni siku ya sikukuu ya muungano?Kwema kabisa kijibaridi tu[emoji7]
Milestone hakuna parking mkuu, hivi pale ngaramtoni ya chini kabla hujafika tembo club ya kisongo, pale kati kulia wanaita sundown au?Hahhaahah siku hizi pamechoka tangu lile bomu ile mizigo iliyokuwa inavuta tela nyuma hakuna tena..Wengi wameamia Mile Stone...
Ni kipato halal hicho lazima kilipiwe kodiKodi kwenye ndoa??? Noti raiti
Hahaha yaani wewe zamaulidDu...wengine hicho hakipandi...labda cha usiku
Tofautisha utani na uhalisiaNimeona sana mambo yako humu mtumishi. Acha hizo
Basi na mimi nimefanya utaniTofautisha utani na uhalisia
[emoji106]Basi na mimi nimefanya utani
Nitauza shamba langu huku kisarawe nifanikishe[emoji2] [emoji2] kazi kwako
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Kila LA kheriNitauza shamba langu huku kisarawe nifanikishe
Ndo niko kwenye harakatiKijibaridi hujui kuwa leo ni siku ya sikukuu ya muungano?
Hujaungana mkuu Zamaulid
Siungi mkono hojaNi kipato halal hicho lazima kilipiwe kodi
Sielewi[emoji21] [emoji21] [emoji21] [emoji21] [emoji21] [emoji21]
Mkuu kisu cha bucha hakichagui ng'ombe....mi bora chakula tuHahaha yaani wewe zamaulid
Chakula cha usiku Huwaga unapenda kula chakula cha aina gani?