Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Wala ila sitaki kuharibu mood Leo. Mapumziko so nitakuwa bize na babyhahahaha naona umenywea.
Wala ila sitaki kuharibu mood Leo. Mapumziko so nitakuwa bize na babyhahahaha naona umenywea.
Tatizo liko wapTatizo mtumishi siku hizi huaminiki
eti eeeeh.Nakushauri abadilishe avatar
poa usiwazeHahaha
Dume la mbegu zipi kaka?
Natania tu
Unafatilia sana wake za watuTatizo liko wap
Kasi yake mbaya lazima ausome mchezo kwanzaAisee jamaa amenitisha.
teh teh teh teh me simo.Wala sjaomba nikuhudumie, umepata kiburi baada ya kumshawishi mkeo akukubali japo huna hata pa kulala, niliwaomba waumini wakuchangie kuanzia suti,kodi,mahari hata jiko la mchina, nilikuazima hata kiatu leo umekuwa na kiburi...sawa tu
Nsamehe bure Mkuu.boss umemwelewa vibaya ngoja nimtetee, japo umenitukana boss.
Du hatareee...gambushi hiiHaahaa.... Huyo ni fisi.
Kazi hii ina majaribu ndg ukimfukuza mtu ni habari na ukimwombea akipona nako ni shida dawa ni kuvumiliaakija usiku mfukuze 2 mana hamna namna.
Kuna watu wanafaidi kaka....namna hii unauguaje malariaWacha wee
aaaaah kumbe mpe hi....,Wala ila sitaki kuharibu mood Leo. Mapumziko so nitakuwa bize na baby
Asante na weye pia...tukaribishane sikukuu basiSiku njema wapendwa
Mkuu tunataniana lakini tuna mipaka. Maneno ya kuudhi tunauaepuka ndg yangu, kibaya zaidi Valentina anajiheshimu sana kwa posts zake hajawahi udhi mtu.Nisamehe Bure Mkuu jambilo
Ndo hivyo kakaaaaaah kumbe mpe hi....,
poa boss.Nsamehe bure Mkuu.
Hii issue ukikamilisha dai receipt ya TRA kodi ya serikali muhimu kukatwaWaambie mda si mrefu maana si kuna vitu nilikwambia namalizia ili kuweka mambo sawa.
Pia kwa kikwetu tunaita 'imonjo'Na kwako pia
Kwani huku ndani hakuna aliye singleNa kwako pia shem.

Mkuu nimetulizana sana cina haja na mke wa mtu, nina mke wangu ninampenda ananipenda, macho yangu hayatamani mwingine wengine rafiki zangu na mashemu na madada tuUnafatilia sana wake za watu
Patience223
