Makapuku Forum

3/Chantal Biya
Ana umri wa miaka 45
Huu ndio usingizi wa "babu" Paul Biya wa Cameroon.....vijana tafuteni pesa !!
Ni maarufu kwa kufanya matanuzi ya kila aina
Anapebdelea zaidi kwenda Paris kuchukua viwalo na makorokoro mengine
.....
 
Mkuu

This is the second time..!

Mimi najaribu kuwa msaarabu kwa kuwa napenda diplomasia..

Sasa na wewe kuwa msataarabu..!

Hapa jf sie hatuigizi! We have life out of jf..so take this serious.

Otherwise tutaonana wabaya humu.

Achana na sakayo.
 
Oyaa hebu nyamANZAA BANAA
UNAnkata stimu bitoz muache afanye kazi yake
 
Siku hizi sichagui mkuu nawapenda wote sio wembamba wala wanene wote ni sawa
 
Acha ufala mazoea yasizidi mipaka ....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…