Makapuku Forum

Ila mama yetu mkuu sasa ni stress zaidi,jamani stress inabadili sana muonekano wa sisi wamama,hakika yule mama ana kila kitu mama anachostahili kuwa nacho only anapitia changamoto...MOYO ULIOTULIA NI DAWA YA MWILI
Anapitia changamoto gani? Inaonekana mnamjua vilivyo mpaka stress zake. Leteni ubuyu


Unajua wakati mwingine ni personality ya mtu tu. Mke wa Trump naye wameanza kumsema hivi hivi. Ati kwa nini mpaka sasa hana ajenda yo yote ya maana kwa jamii. Mwenyewe anasema hataki spotlight na focus yake kubwa kwa sasa ni familia yake. Afadhali huko kwa wenzetu angalau hawalinganishi political figures kwa kuangalia uzuri na mvuto wa mwili...
 
Mbona unazingua mdau
Nimetaja tu kwavile yeye ndo First Lady wa sasa

Wajadili hawa ninaowapost siyo umekomaa nae
Kumbuka maneno yangu hayawezi kubadilisha urembo wake km ni mrembo kila mtu anajua and vise versa is true
....
 
Bado ana uandishi wa kitoto
Wewe ni KE au ME?

Kama wewe ni KE acha wivu hii siyo bahati yako ni ya sakayo Mkuu.

Kama ME angalia vizuri upo mbiyoni kupoteza sifa ya kuwa ME.

Mbona akina werrason, shimba ya Buyenze wametulia hawana hizo mambo unazofanya Mkuu?

Be like a Man!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…