Makapuku Forum

Asante mkuu kwa nyongeza ...

Kwanza mkuu nikukumbushe liver sio enzyme bali inazalisha na kutunza enzyme

Ini ni kiungo kikubwa kuliko organ zote ndani ya mwili na kiukweli inafanya kazi kubwa sana ..katika ya essentil body part yenye umuhimu ni Ini hii ni kutokana na kazi zinazofanywa na ini ...

Bhinadamu kila mara mwili unahitaji nguvu na nguvu zinatoka na vyakula tunavyokula na huwezi jua kipi cgakula unachokula ni salama au vip ...

Baada ya atua ya mwanzo ya mmengenyo wa chakula hasa mdomoni chakula kikiingia tu mwili ini ufanya kazi ya detoxification au kuharibu kipi hakihitajiki na kipi kinahitajika ...

Ini inazalisha bile, ila bile sio enzyme .. inayotunzwa na gallbladder na hii ndo kama major activator ya liver kwenye detoxification na endapo ikipungua ndo hasa magonjwa ya ini yanaonekana

Mbali na hiyo ini inazalisha Bilirubi , choresterol hormone hasa kupambana na mafuta ...wala chips hapa tusamehe mafuta yansyotumika ini haiusiki nayo...usishangaeee

Lakin ini inasaidia kuactivate enzymes pamoja ns kutunza glyolcogen hapa likifeli magonjwa kama kisukari yatakusumbuaa sana .....

Asante mkuu ...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…