Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,605
Hujaanguka?Samahani mkuu nimeteleza.
Kumbe boss wako?Bila shaka unatumia na mbegu zake.
Anyway iko hivi umempenda vipi boss wangu?
Kimapenzi au unapenda uchangiaji wake huko majukwaani?
Semeni mapemaaa mpo upande gani???.....Me Brazil[emoji1]WORLD FRIENDLY
Saa saba leo mchana tutafutane tuangalie burudani Brasil vs Argentina![]()
Amen[emoji120]Amen
Same to you mom
[emoji85] [emoji87] [emoji35]
Ferd ni nini mkuu? au ulitaka kuandika page?Morning [emoji113] Makapuku.
Shukrani Mkuu Shululu kwa kunisogezea Font ferd kiganjani.
Nawe pia barikiwaAsubukhi njema kwetu Makapuku tumshukulu aliye tuumba
Goodmorning sir ,you good,happy,ready to work?Blessings to you[emoji120] have a wonderful day..friday[emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji7]Goodmorning famile
Naomba ujibu swali sio swali juu ya swaliKumbe boss wako?
Hayo maswali ilibidi aniulize yeye Mkuu.
Au upo kwa niaba yake nianze kushusha verse?
Poa poa werrasonThanks Shululu
Madam dear umeamshwaje?[emoji7] [emoji8] .....Bwana Yesu asifiwe dearNawe pia barikiwa
Hahahha yupo mbona ntamwambia fike na huku asiishie huko kwigineJambo jema kwetu kujua upo vyema pia
Wanao hatujambo kabisa kaka mkubwa yuko wapi siku hizi?
Argentina ni timu iliyojaa mafundi lakini haina ubora tunaoutaka, Brazil damu changa imeipa nguvu kubwa sana timu yao wapo vizuri zaidi.Semeni mapemaaa mpo upande gani???.....Me Brazil[emoji1]
Mungu yu mwema niko salama,nimeamka wema wa Mungu wanizunguka,pole na majukumu nakuombea Afya,furaha,mafanikio......ubarikiwe sana..siku njema[emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji7]Madam dear umeamshwaje?[emoji7] [emoji8] .....Bwana Yesu asifiwe dear
Wewe siyo mhusika hivyo majibu yangu kwako yatakuwa hayaleti picha nzuri Mkuu!Naomba ujibu swali sio swali juu ya swali
Green light ahead