Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Samahani mkuu nimeteleza.Wewe tueshimiane mkuu..
Mimi sio kidumu
Unataka nifanyeje ili ujue pole yngu ni dhati kabisaYaani sijui kwanini sina imani na pole yako. Anyway ndo mtazamo nilionao
Viroba wanakunywa watu kama wewe.Viroba viliachwa kuuzwa wewe unatumia cha wapi?
Muacheni bhinamu yangu bhanaa leo ijmaa mtanikosesha offer ya nyagiiii....msimvuruge kama maua tutapewa kwa wakatUnataka nifanyeje ili ujue pole yngu ni dhati kabisa
Morning NyaggyMorning faza

...kwani huwa anakupa wewe asante? Mimi hazijanichosha tena kama vipi awe anazitoa in advance. Msinitafutie pumu nyie

Thanks ShululuView attachment 521526Kutoka magazetini sina la ziada, kwa udhamini mnono wa ipogolo, nawatakieni ijumaa njema
Mambo hayoHodi hodi hodi hodi hodi
Mimi ni Mgeni napenda kujumuika na nyie humu ndani-Makapuku!
Sema kabla sijaja humu mnaoeneka nyie ni watu ambae mko tofauti sana katika hili jukwaa.
Kwanza,nimegundua kuna couples humu ndani hivyo mnaoneana wivu sana.
Pia, nyie mnapenda likes sana kwa sababu mtu akiweka hata alama ya koma mnalaiki tu.
NOTE: aliyesababisha nije humu ni SAKAYO huyu Dada nampenda sana nimekuwa nikijaribu kufuatilia comments zake nimetambua ni mwanamke kweli (wife material). Sakayo Nipo tayari kwa lolote juu yako lengo langu kubwa niwe na wewe.
Nouma sanaMambo hayo
Bila shaka unatumia na mbegu zake.Viroba wanakunywa watu kama wewe.
Sisi ni kupiga kitu cha Arusha tu jombaa!
Kwema lakini?
Msalimie sakayo mkuu!