shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Nimeisha yatupia na wewe ndio mdhamini wa leoMuda wako mkuu let's share. Magazeti karibu.
Nimeisha yatupia na wewe ndio mdhamini wa leoMuda wako mkuu let's share. Magazeti karibu.
Nahisi linakufaa ....Goodmorning Lee. Umenibatiza jina?
15 au 16Bado vyungu vingapi?
Jana ilitisha zaidi aiseeHujaizoea mpaka sasa?
Shukrani kwa magazeti. Nimesoma vichwa. Naona bajeti imewakuna wahariri wote.View attachment 521526Kutoka magazetini sina la ziada, kwa udhamini mnono wa ipogolo, nawatakieni ijumaa njema
Pamoja sana mkuuAsante mkuu
Umekuja na AdaMbona sijui kama nazingua jombaa?
Mkuu uko poa ??Sio kuolewa tuu..
Ana watoto 5 sasa
Zungusha uzio wa mauaAsante mama mchungaji na karibu
Shunie ananinyima maflower
Ngoja tuwasubiri wachumi nao wanasemajeShukrani kwa magazeti. Nimesoma vichwa. Naona bajeti imewakuna wahariri wote.
Monring loveHabari yako lakini.....
Tumewahi kuonana wapi mkuu, maana Unaongea kwa kujiamini halafu mie ndo kwaaanza nakuona leo
HahaaaKuna sehemu unatakiwa uweke viunganishi
Niaje mkuu, uko poaHahaaa
Bali?Mbona sijui kama nazingua jombaa?
Hahaaa!Pole
Hiyo ni kawaida kwa watu kama sie.... Mambo mengi, umri mdogo
Shukrani sana mkuu shululu kwa magazeti mubasharaView attachment 521526Kutoka magazetini sina la ziada, kwa udhamini mnono wa ipogolo, nawatakieni ijumaa njema
Nakuletea majiKho Kho Kho Kho Kho Kho