Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Safi sana shululu, ujumbe wangu uliupata toka kwa shem?Chaplin niaje
Safi sana shululu, ujumbe wangu uliupata toka kwa shem?Chaplin niaje
Dah havina uhakika?15 au 16
Uliaga mapema sana?Jana ilitisha zaidi aisee
Asante Chaplin nawe pia siku njemaShukrani sana mkuu shululu kwa magazeti mubashara
Bila kusahau udhamini wa ipogolo
Muwe na siku njema
Bali ni balimi au umemaanisha nini?Bali?
Sijaupata mkuu, unaweza niambia tuSafi sana shululu, ujumbe wangu uliupata toka kwa shem?
Alikuja kusaidia ulinziHahaaa!
Yaani jana nimelala weww ukachukua simu na kuja jf ?
Kaaah!
Heshima yako bossHahaaa
Mbona wa kwakeSakayo! Mkubali Transcend yaishe. Hata kama uko engaged mafiga matatu muhimu. Kwetu tunakubali kidumu.
Usikatae Bahati. MTU Mzima anakosa usingizi. Kumnyima MTU dhambi.
Nashukuru tuu ulikuwa nae bega kwa bega..Alikuja kusaidia ulinzi
Heshima yako boss
Amkubalie Mara ngapi?Sakayo! Mkubali Transcend yaishe. Hata kama uko engaged mafiga matatu muhimu. Kwetu tunakubali kidumu.
Usikatae Bahati. MTU Mzima anakosa usingizi. Kumnyima MTU dhambi.
Wewe tueshimiane mkuu..Sakayo! Mkubali Transcend yaishe. Hata kama uko engaged mafiga matatu muhimu. Kwetu tunakubali kidumu.
Usikatae Bahati. MTU Mzima anakosa usingizi. Kumnyima MTU dhambi.
AmenAsante Chaplin nawe pia siku njema
Viroba viliachwa kuuzwa wewe unatumia cha wapi?Bali ni balimi au umemaanisha nini?
Nashukuru tuu ulikuwa nae bega kwa bega..
Manake chatu wengi humu

Hichi ni kigazeti uchwara tuu. Kimeona wote hao kikamsahau Diamond kweli. Hao wengine hata hawajulikani ila kumwacha diamond hiyo habari haijakamilika. Maana diamond ndiye aliyemake naye headlines kuliko wote
Kwenye pita pita zangu nilikutana na investment yakoSijaupata mkuu, unaweza niambia tu
Morning le bossMorning fam