Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Kikiiva uniiteMchana pilika zilizidi ila usiwe na wasi ndio nazidi kukupikia
Kikiiva uniiteMchana pilika zilizidi ila usiwe na wasi ndio nazidi kukupikia
Yap hope utanishushia nondo za ukweli jembe..Mchana pilika zilizidi ila usiwe na wasi ndio nazidi kukupikia
Hapo kwenye kuingiliana napata ukakasiHahaha
Usijali mlinzi, majukumu yameingiliana tuu
XKikiiva uniite
Kabla ya kuiva nitakuonjeshaKikiiva uniite
Ukakasi gani tena, huniamini auHapo kwenye kuingiliana napata ukakasi
Mm usingizi umekata aiseeT saizi amelala, mie niko lindo leo
Umewagundua kwa njia ya kwanza au ya pili?Yap hope utanishushia nondo za ukweli jembe..
***** wezi wangu nishawagundua aisee
MmmmhX
Chakula cha akili sio cha mwili mamaa
EwaaaaKabla ya kuiva nitakuonjesha
Nakuamini ila majukumu ya bodyguard leo umeyavaa nashangaaUkakasi gani tena, huniamini au
PoleMm usingizi umekata aisee
Hiyo ni sifa niliyoigundua baada ya kukuona ukiandaa chakula cha TranscendEwaaaa
Umejuaje mie ni mtaalam wa kuonja
Noo kwa upelelezi wangu japo mzee kasema mwizi hayupo mbali na nyumba.Umewagundua kwa njia ya kwanza au ya pili?
UsijaliNakuamini ila majukumu ya bodyguard leo umeyavaa nashangaa
UpunguzePole
Hiyo ni kawaida kwa watu kama sie.... Mambo mengi, umri mdogo
Hahaaa kama mie duuh ndio yamezid maana naachiwa saa tano usiku..Pole
Hiyo ni kawaida kwa watu kama sie.... Mambo mengi, umri mdogo
HahahaHiyo ni sifa niliyoigundua baada ya kukuona ukiandaa chakula cha Transcend
For your own risk kijana mimi na ubabe huo tofautiNoo kwa upelelezi wangu japo mzee kasema mwizi hayupo mbali na nyumba.
Yaan ni majirani tunaotazamana milango ndio wamefanya wizi huo ngoja niwaoneshe kua mm ni mtoto wa kigoma.
Kho Kho Kho Kho Kho KhoNoo kwa upelelezi wangu japo mzee kasema mwizi hayupo mbali na nyumba.
Yaan ni majirani tunaotazamana milango ndio wamefanya wizi huo ngoja niwaoneshe kua mm ni mtoto wa kigoma.