Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Nini hiyoUpunguze
Nini hiyoUpunguze
NimeshaelewaUsijali
Niko salama kabisaa kuna la muhimu nafanya si unajua tenaaaa
Ni moja ya majukumuHahaha
We Umenishinda tabia
Sasa niwafanyaje wakat polisi wenyewe siku ya tatu leo naenda wanapiga karenda tu!!For your own risk kijana mimi na ubabe huo tofauti
Mambo yasikuzidi sanaNini hiyo
Poa Poa tajiriNimeshaelewa
Nini tena dada au unakula OGO la jang'ombe?Kho Kho Kho Kho Kho Kho
Itabidi nikupunguzie majukumu wewe, mwisho wa kazi ni saa moja jioni.... SawaaaNi moja ya majukumu
Umejuaje kuwa hakuna cha maanaSasa niwafanyaje wakat polisi wenyewe siku ya tatu leo naenda wanapiga karenda tu!!
Hv wameniambia niende kesho asubuhi tena na hamna la maana
Ni bodyguardPoa Poa tajiri
Lala sasaaa baadae udamkeHahaaa kama mie duuh ndio yamezid maana naachiwa saa tano usiku..
Hiyo ni dalili ya ridandasi madamItabidi nikupunguzie majukumu wewe, mwisho wa kazi ni saa moja jioni.... Sawaaa
Napigwa na baridi hapaNini tena dada au unakula OGO la jang'ombe?
Anadharau jeshi sioUmejuaje kuwa hakuna cha maana
Muache akeshe halei huyoLala sasaaa baadae udamke
OoohNi bodyguard
Sasa mtu wanakwambia kafanye upelelezi ww hafu ndio upeleke majina ya ulio wapata, nikikosa je? Siku ya nne kesho nataka nikafungulie RB simu yangu ili hata wakiifanyia majanga nisishikwe mimi.Umejuaje kuwa hakuna cha maana
KabisaaHiyo ni dalili ya ridandasi madam
Shauri yakeAnadharau jeshi sio
MmmmhMuache akeshe halei huyo