Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
MadamHuyo anayeniita ndo kwanza namuona leo, akuje na ID ya zamani nimtambue vyema..... Kinyume na hapooo ameagizwa tuu huyo!!!!!!
MadamHuyo anayeniita ndo kwanza namuona leo, akuje na ID ya zamani nimtambue vyema..... Kinyume na hapooo ameagizwa tuu huyo!!!!!!
Kwenye road signs wanatumia lugha gani?Ni kweli. Siku moja nakwenda kumchukua mtu airport nikakosea exit zote mbili kutokana na labyrinth ya mi-flyover yao hii. Nikajikuta nimeingia kwenye mzinga wa daraja reefu tena juu ya bahari halafu traffic ni bumper to bumper. Kulivuka tu karibia lisaa lizima ndiyo sasa nikaanze kuangalia utaratibu wa kurudi. Mgeni nikamwambia achukue taxi tutakutana nyumbani jioni. Mashikolomageni baba!
Hilo haliwezekani.........Hodi hodi hodi hodi hodi
Mimi ni Mgeni napenda kujumuika na nyie humu ndani-Makapuku!
Sema kabla sijaja humu mnaoeneka nyie ni watu ambae mko tofauti sana katika hili jukwaa.
Kwanza,nimegundua kuna couples humu ndani hivyo mnaoneana wivu sana.
Pia, nyie mnapenda likes sana kwa sababu mtu akiweka hata alama ya koma mnalaiki tu.
NOTE: aliyesababisha nije humu ni SAKAYO huyu Dada nampenda sana nimekuwa nikijaribu kufuatilia comments zake nimetambua ni mwanamke kweli (wife material). Sakayo Nipo tayari kwa lolote juu yako lengo langu kubwa niwe na wewe.
AbeeeeMadam
Naona kuna ka-threat kananyemelea Ikulu ndogoAbeeee
Washaweka wenzangu linkKuna sehemu unatakiwa uweke viunganishi
Uko poa mamaaaAbeeee
HahahaNaona kuna ka-threat kananyemelea Ikulu ndogo
Niko Poa kabisaaUko poa mamaaa
Safi tu dada angu sijui wewe..Niko Poa kabisaa
Vipi hali yako
SawaWashaweka wenzangu link
Hiyo ni kazi ndogo tu madamHahaha
Nimekuachia wewe uwajibike
Poa PoaHiyo ni kazi ndogo tu madam
Mie niko poaa, majukumu tuu nduguSafi tu dada angu sijui wewe..
Leo tunakesha boss..Sawa
Ni kwema kabisa madam SakayoPoa Poa
Kwema lakini mlinzi
Mchana pilika zilizidi ila usiwe na wasi ndio nazidi kukupikiaLeo tunakesha boss..
Halafu mchana ukaniua juu kwa juu
HahahaNi kwema kabisa madam Sakayo
Leo kulikoni usiku ulitaka ufumanie kama bodyguard huwa analala?