Makapuku Forum

Shalom mama mchungaji
 
2/Tanjin Grand Bridge
Ni daraja la reli linaloziunganisha Langfang na Qingxian
Ni njia ya treni ya spidi kutoka Beijing hadi Shanghai....Sisi huku huita SGR
Lina urefu wa Km 113.7
.......
Aisee refu sana hilo
 
Lazima atataka aniuzie zaidi ya 900k dollars

Na hapo ndipo atakapobaki nayo
 
Sina la kuongeza mkuu
 
Siyo kutega nimeongea ukweli toka moyoni Mkuu.

Pia natumai siyo kosa wala nini!
Huyo binti nampenda sana.

Sitojali kapendwa na wangapi wala na nani!

"I will fight and win"

Nakuelewa na nakupenda sana Sakayo
Habari yako lakini.....

Tumewahi kuonana wapi mkuu, maana Unaongea kwa kujiamini halafu mie ndo kwaaanza nakuona leo
 
Usipokuwa makini unarudi ulikotoka
Ni kweli. Siku moja nakwenda kumchukua mtu airport nikakosea exit zote mbili kutokana na labyrinth ya mi-flyover yao hii. Nikajikuta nimeingia kwenye mzinga wa daraja reefu tena juu ya bahari halafu traffic ni bumper to bumper. Kulivuka tu karibia lisaa lizima ndiyo sasa nikaanze kuangalia utaratibu wa kurudi. Mgeni nikamwambia achukue taxi tutakutana nyumbani jioni. Mashikolomageni baba!
 
Hii ni kwa mpendwa wangu wa dhati kabisa pasi na kupepesa macho mnamjua kama hamumtambui basi nami sitambuliki.
Jorowe amesema kwake kuandika ni hobby na huwa anafarijika anapoandika hasa kutuandikia sisi Makapuku wengine, naheshimu mchango wako Obe.
Leo katika kusikiliza nyimbo zilizopo kwenye flash niliyoletewa na shemeji yenu kuna wimbo umeimbwa na George Benson unaitwa Nothings gonna change my love for you, Jorowe utakuja kuongezea nyama hapa ili tujue original version ya wimbo huu.
Baada ya kusikiliza nikapata wazo la kusikiliza ikiwa katika guitar version na hii imekuwa nzuri zaidi maana unajikuta kama upo studio unaingiza sauti.


Leo nimejitahidi kuandika sababu kuna vitu vimenisukuma kufanya
Cc Linamo

Cc Obe (Jorowe)
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…