Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,369
- 12,469
Hahaha, kuna mamchuchu anaombeaga watu asbh na jioni kila siku muone kwa msaada zaidiSiyo kutega nimeongea ukweli toka moyoni Mkuu.
Pia natumai siyo kosa wala nini!
Huyo binti nampenda sana.
Sitojali kapendwa na wangapi wala na nani!
"I will fight and win"
Nakuelewa na nakupenda sana Sakayo
HahahahaTena kwa lafudhi ya kihindi.
Nimeipenda nafikil uko namna hiyoimefanyaje tena mkuu
Vitu vingine simpaka uambiwe, ndio maana kuna watu wanapendanaga hata bila kuambiana, inatokea tuukama alikwambia anao ukame sawa
Acha uchakubanga nyumbu wwUtoto huu sasa
Hahaha nawaza tu shunie.hayo mawazo ujue tetra sio kila mtu ambae yupo porini ni muwindaji au mchoma mkaa
Ukame wa mvuakama alikwambia anao ukame sawa
Upo wa aina nyingi.,Ukame wa mvua
Napenda uwasilishaji wako. Una uwezo wa kuandika (kumzidi hata bwana yuleeee!) na inaonekana uko siriazi. Mtu akisoma ni lazima tu ajifunze kitu kipya. Ni mambo kama haya yanayoifanya Makapuku izidi kuheshimika na kuondoa ile dhana potofu kwamba sote tulioko huku ni watoto wa shule wapiga porojo tu tusio na mbele wala nyuma.Muziki na Maua
Ni usiku mwingine tena Makapuku, yeah, it's almost furahiday TG. Najua wengi wetu tumekuwa na wakati mzuri siku ya leo. kuna mengi yamepita, tumefanya na mengi yanakuja. Ndo maisha.
Nadhani sijawahi kusema humu, siku moja kabla ya Ijumaa huwa nashtua na kaglass kamoja ili kujiandaa na friday (suala la kama nimefunga au sijafunga sio la kwako). Uzuri wa mnywaji huwa hachagui siku ya kunywa, unakunywa unapojisikia, siku yoyote, mfano, jtatu anakunywa kwa sababu ni siku ya kwanza kurudi kazini, jnne anakunywa kwa sababu juzi ya jana ya juzi ilikuwa jumamosi, jtano anakunywa kwa sababu ni siku ya kuburudisha mwili. Hongera sana kwa walevi na wanywaji wote, ninyi mnachangia karibu asilimia 98 ya bajeti, madini yanachangia 0.0007% na wachangiaji wengine wanamalizia asimilia zilizobaki.
Inabidi tuzidishe maombi ili wanywaji waongezeke serikali iendelee kupata mapato mengi zaidi. Na zaidi, serikali ikitaka kuongeza mapato zaidi basi waende makanisani maana huko kuna wanywaji wengi sana eti wanakunywa divai/mvinyo. Hapa Kazi Tu
Leo, sina sababu sana ya kuangalia utamu wa gitaa lakini kuna midundo fulani hivi ya kisouth ukiisikia lazima masikio yako yatabasamu, ndo ubinadamu huo, kila kiuongo huwa kinatabasamu labda hujajua tu (ndo faida ya kusoma twisheni, unafundishwa masomo ya ziada). Na leo tunaenda South Africa.
Keshatengeneza nyimbo nyingi sana za Brenda Fasie na keshawahi kuwa meneja wake, unajua namuongelea nani leo? Ewaaa, tulia kama naibu spika akiongea na wabunge wa upinzani. Tunamwangalia nguli amabye ana tuzo ya maisha katika tasnia ya muziki aliyopewa huko nchini kwake SA- kwa mzee wa ASS -After Sex, Shower. Uliwaza nini?
Anaitwa Sello Chicco Twala almaarufu Chicco Twala. na nyimbo nyingi tu maarufu kama Papa stop the war na We miss you Manelo (Mandela) nk
Tumwangalie hapa na kibao chake I need some money yooo and kesho ni furahiiiiiiiiiday. Take it easy
Muziki na Maua

Ww umemanisha upUpo wa aina nyingi.,
Kuku mgeni hakosi kamba mguuniSiyo kutega nimeongea ukweli toka moyoni Mkuu.
Pia natumai siyo kosa wala nini!
Huyo binti nampenda sana.
Sitojali kapendwa na wangapi wala na nani!
"I will fight and win"
Nakuelewa na nakupenda sana Sakayo
BH si wa mchezomchezo level zake sio za hawaKazi unayoo
Mukongoman ulikuwa umepotea sana. Kwema? Hujarudi na makinikia za platinum na rare minerals kutoka Congo? Tugawane please!Ahsante Bitoz kwa TT
Another kuku mgeni ama?Acha uchakubanga nyumbu ww
Wa njaaWw umemanisha up
😵 😵 😵 😵 😵