Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,403
Pointi gani? Makapuku bwana!Bonge moja la point
Pointi gani? Makapuku bwana!Bonge moja la point
Kama we na mkeo mlivyomsaidia Shedede? Track record yako ikoje? Isije ikawa u dalali mzuri wa mademu kumzidi hata Le MbururazHapanaaa mm nasaidia madomo zege

Shukran kwanza kiongoziMakapuku, sijawahi kuwa na topiki hapa na najifunza. How did I do today (Stupid Criminals hapo juu)? Ni wazo zuri hili au niachane nalo? Ushauri wo wote utasaidia (format, presentation n.k). Bitoz, Obe, Lee...ushauri please.
Nina mawazo mengi hata nafikiria kuanzisha darasa la Falsafa hapa. Kila siku tujadili wazo moja tata la kifalsafa (mf. Wewe ni nani? Tuna haja ya kukiogopa kifo?..). Lengo ni kuipa Makapuku sura mbalimbali. Pamoja sana!
Unataka nijibu ??Unawasaidiaje?
Pamojaa mkuu japo bado salamu ndo nasikia ...Nimekupata kamanda. Usikose kutuletea vidokezo muhimu vya hiyo bajeti...
Nitag plztuanzie hapa unampaga nini??
Ni fresh tuMakapuku, sijawahi kuwa na topiki hapa na najifunza. How did I do today (Stupid Criminals hapo juu)? Ni wazo zuri hili au niachane nalo? Ushauri wo wote utasaidia (format, presentation n.k). Bitoz, Obe, Lee...ushauri please.
Nina mawazo mengi hata nafikiria kuanzisha darasa la Falsafa hapa. Kila siku tujadili wazo moja tata la kifalsafa (mf. Wewe ni nani? Tuna haja ya kukiogopa kifo?..). Lengo ni kuipa Makapuku sura mbalimbali. Pamoja sana!
Shimba bwanaaaa...Kama we na mkeo mlivyomsaidia Shedede? Track record yako ikoje? Isije ikawa u dalali mzuri wa mademu kumzidi hata Le Mbururaz![]()
Matokeo ya bonanza mkuu plzNi fresh tu
Ilimradi ujipangie tu muda
Usione tupo kimya shughuli nyingi
Ila km kawa 10 kubwa ni baadaye
.......
Mkuu sioni sababu ya kusita kuleta uzoefu wako humu, ongea moyo wako ( speak yo heart) kile kimeukamata moyo zaidi kilete tujifunze kupitia kwakoMakapuku, sijawahi kuwa na topiki hapa na najifunza. How did I do today (Stupid Criminals hapo juu)? Ni wazo zuri hili au niachane nalo? Ushauri wo wote utasaidia (format, presentation n.k). Bitoz, Obe, Lee...ushauri please.
Nina mawazo mengi hata nafikiria kuanzisha darasa la Falsafa hapa. Kila siku tujadili wazo moja tata la kifalsafa (mf. Wewe ni nani? Tuna haja ya kukiogopa kifo?..). Lengo ni kuipa Makapuku sura mbalimbali. Pamoja sana!
Si kile anachompaga?tuanzie hapa unampaga nini??

usiwazeNitag plz
Yanga 0Matokeo ya bonanza mkuu plz
Unakijuaa??Si kile anachompaga?![]()
ndala outMatokeo ya bonanza mkuu plz
AsanteeTanga 0
Leopalds 0
Yanga kufungwa 4:2 kwa penati
......
Nilishaachana na haya mambo ya kutafuta warembo wa mitandaoni. Ni pasua kichwa bila sababu. Exception pekee ni Shunie - toto jeupe la Kitanga dah! Kwa Shunie niko tayari anytime akiwa available - kama unajua ninachomaanishaShimba bwanaaaa...
Na wewe kama ni mmoja wao ebhu nioneshe mrembo kwa kapuku hachomokii
♂️
♂️
♂️nitag tafadhaliUnakijuaa??
Roho inakuumaaNilishaachana na haya mambo ya kutafuta warembo wa mitandaoni. Ni pasua kichwa bila sababu. Exception pekee ni Shunie - toto jeupe la Kitanga dah!