Makapuku Forum

Makapuku Forum

ARSENAL YAKUBALI OFA ZA OSPINA

Fenerbahce wamefiki makubaliano na Arsenal kwa ajili ya kipa David Ospina, kwa mujibu wa Fanatik .

Kipa huyo wa kimataifa wa Colombia atauzwa kwa paundi milioni 3 na atapaa hadi Uturuki kukamilisha vipimo vya afya na kusaini dili la miaka minne......

5e0efbb359befadf0e13bca09575c09c.jpg
 
[emoji524] MATHAYO 7

7. Ombeni nanyi mtapewa,tafuteni nanyi mtapata,bisheni nanyi mtafunguliwa.

Mungu ulisema niombe nami nitapewa.Na nitafute nami nitapata.Nibishe nami nitafunguliwa.

MPENDWA
USIACHE KUOMBA,KANUNI HII INATUHAKIKISHIA KUPATA TUTAKACHOOMBA KWA IMANI[emoji123]
NAWATAKIA MCHANA MWEMA[emoji7] [emoji7]
Amen
Ubarikiwe sana...!!
 
WENGER AZUNGUMZA NA LACAZETTE

Meneja wa Arsenal, Arsene Wenger amefanya mazungumzo na Lyon kuhusu usajili wa mshambuliaji Alexandre Lacazette, kwa mujibu wa The Sun .

Kocha huyo Veterani alikuwa Ufaransa wiki hii na Ivan Gazidis kukutana na rais wa Lyon Jean-Michael Aulas, akiwa na tumaini la kukubaliwa kufanya biashara hiyo....

9e7aa844e59e3fac3cd0d6650c29bf37.jpg
 
Stupid Criminals (Wahalifu Wajinga). Ni kipengele kitakachokuwa kinakujia kila siku kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa. Hapa utapata kuona upande mwingine wa mnyama huyu matata aitwaye binadamu (Homo Sapiens), na pengine kujifunza kitu pamoja na kuburudika. Nitakuwa nakuwekea wahalifu wa kila aina watano kila siku. Tuwemo...
 
Mpelekee salamu mwambie habari ya VUMBI LA CONGO na supu za pweza, kwa sasa si dhani kama lina nafasi kwa malkia mtulivu kama mama Mchungaji. Nimejizatiti kwa Mbegu za maboga, mdalasini wa India, Asali ya nyuki wadogo na vitunguu swahumu vya bongo, sio vile vya south Africa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Cc. Werason[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Stupid Criminals (Wahalifu Wajinga). Ni kipengele kitakachokuwa kinakujia kila siku kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa. Hapa utapata kuona upande mwingine wa mnyama huyu matata aitwaye binadamu (Homo Sapiens), na pengine kujifunza kitu pamoja na kuburudika. Nitakuwa nakuwekea wahalifu wa kila aina watano kila siku. Tuwemo...
pamoja sana mkolomije
 
Back
Top Bottom