Makapuku Forum

Vipi kuhusu sexual organs za twiga. Ni kama za punda kihongwe?
 
Kila aombae hupewa. Ni kweli hii Mama mchungaji?
 
+Twiga ndiye mnyama ambaye ni nembo ya Taifa la Tanzania
Duniani kote wanyama ni utambulisho wa Taifa Fulani
Mfano
Uganda ni korongo(flamingo) wakati USA ni tai(Eagle)
........
Asante

Umenikumbusha Uganda ...huyo mnyama anaheshimika kinomaaaa

Enzi hizo nahis mpaka sasa walikuwa wanatishiwa ukimuua na wewe unakufaa

Wanamlinda sana
 
Umenishinda tabia madenge
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…