Makapuku Forum

Makapuku Forum

Katika dondoo za bbc ...

[emoji117]Waingereza leo wanapiga kura katika uchaguzi mkuu wa nchi hiyo.

[emoji117]Leo ni siku ya Bajeti kwa baadhi ya nchi za Afrika Mashariki.

[emoji117]Tume huru ya Uchaguzi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo tuhumani kwa kuendesha polepole zoezi la Usajili na vitendo vya rushwa.

[emoji117]Serikali ya Tanzania kwa mara ya kwanza yaanza matibabu ya upandikizaji wa vifaa vya kusikia kwa watu wanaozaliwa wakiwa viziwi.

[emoji117]Na takwimu zinaonesha kuwa Somalia inaongoza duniani kwa watu wenye magonjwa ya akili.
Asante mkuu
 
Back
Top Bottom