Makapuku Forum

Anavutia sanaaaa
 
+Twiga ndiye mnyama ambaye ni nembo ya Taifa la Tanzania
Duniani kote wanyama ni utambulisho wa Taifa Fulani
Mfano
Uganda ni korongo(flamingo) wakati USA ni tai(Eagle)
........
 
Na wewe si utengane?
[emoji2] [emoji2] [emoji2]

Tatizo mnapenda kushobokewa
Humu hashobokewi mtu
Km mtu anapapenda ni jukumu lake mwenyewe kujichanganya na siyo blah blah
Mfano hujamquote mtu yoyote halafu ukakaushiwa ila kelele nyingi
.......
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwahiyo nchi zingine hakuna twigwa?!
Ni uchaguzi binafsi wa nchi
Kwani hajawahi kuona hata bendera za nchi ukaribia kufanana?

Hutumika kwa ajili ya utalii na pia kutambulisha nguvu/tabia ya Taifa husika
Mfano
USA wanatumia Eagle na ni taifa babe kijeshi na kiuchumi wakati Tz tunatumia Twiga ni Taifa lenye ukarimu na upole/unyonge karibia kila kitu kuanzia uchumi hadi michezo
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
......
 
Kifupi ni mdebwedo au
 
Asante mkuu
 
Asante mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…