Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,277
- 35,630
simtaki binamu Obe...
....sema pole pole wasikusikie wanaonitaka wakafuata mkumbo wako.
BTW nilikutaka kimyakimya vipi kunikataa unakodi spika za adhana
simtaki binamu Obe...
hiyo sawa najua itakua inaendelea tuNini tena
Nimeokota saa ya mshale inafanana na yako maeneo yetu yalee....sema pole pole wasikusikie wanaonitaka wakafuata mkumbo wako.
BTW nilikutaka kimyakimya vipi kunikataa unakodi spika za adhana
Sawa sawahiyo sawa najua itakua inaendelea tu
demi bora ujiendee kwa mzee wa kungoa mambo ya maugomvi ktk ukoo hatujazoea kabisa
Na shunie kala kukuNaona umefurahi sana mimi kukataliwa , yaani najua leo kwako ni kama kirisimasi.
Miss you more mamy, upo lakini Mamangu kipenzi..... Nakupenda mamySakayo Dear karibu miss u so much karibu sana mummy![]()
![]()
Ya kweli hayoo.... Mbona hujasema siku zote hizo mdogo wangu jamaniDada kumbe mna mtoto anaitwa D na wa kwetu pia anaitwa D
Pm wewe apoNa mm mwambie shunie akupm D
Shemeji upoNgoja baba D aje aweke au nikupm picha ya D
Mambo mengine ni ya kupotezea tusawa
Aliyetuangushaa thimbwa huyuuu hapaa
![]()
NdioShemeji upo

Nipm wenuPm wewe apo
Karibu mkuuI am new kapuku here, nimeskia story zenu kwenye social medias huko nimevutiwa na mim nataka kuwa humu![]()
Fatilia kwanza uone kipi unawezaNipeni kitengo me ni mdau wa michezo siasa na mambo ya sheria.
Karibuu mkuuTOP TEN
Waislamu wapo kwenye mfungo wa mwezi mtukufu ....yaani wao mchana hushinda njaa ila usiku wanakula balaa
Kuna usemi kwamba binadamu hawezi kuvumilia mambo matatu, yaani njaa,Ny*g* na usingizi
.
.
Sasa tuwaangalia wanyama kumi wenye jeuri ya kukaa muda mrefu bila kula na pengine hata bila kunywa maji
Karibuni
......