shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
sizitaki habari zake shemela anazonipaUnasusa habari za binamu
Humu hadi Paw pamemkosha na kucomment jana LIVE babakeShukrani, nimeona na kuipitia mwanzo hadi page ya sasa hivi.
Nimejifunza kimoja tu, wakati mwanzisha uzi anataka kujua kuhusu hapa, wachangiaji wengi (ukiondoa member wa huku) hawajui wanachangia nini na wanaishia kulalamika kuwa sisi tunalalamika tu.
Mlalamikaji anayelalamikiwa.
Wanaamini 'likes' ni za bwerere tu huku na ukija mgeni unapewa mke (sic) mimi niko hapa hata mchumba tu sijapata na ni leo tu nimekataliwa kwa tangazo kama la msikitini.
Ninajisikia vizuri kuwa hapa.
SN (serious note na sio sexual and nudity) huku wapo waungwana , wasomi (msomi ni nani? Siku nyingine tena) ambako tunaamini hakuna hoja ya kijinga, tunajifunza mengi na si kujua mengi.
Hatuhitaji kujitetea kwa awaye yeyote, hatuna sababu ya kufanya hivyo. JF ni kubwa sana na Makapuku forum ni sehemu ya JF.
Hapana binamu me cfurahii ww kukataliwa jaman
Huwa namuona kwa mbali tu mke mweeeSakayo mwenyewe unamjua mke mwee
9/Homo Sapiens![]()
Kizazi cha karne hii cha chipsi mayai cha matozi na masistaduu sijui kama kinaweza kukaa na njaa japo siku 3 tu![]()
Bhagat Singh mwaka 1929 aliweka mgomo wa kutokula hunger strike ambao pia ulichochea kupatikana kwa ihuru wa India 1947
Ilikuwa ni baada ya kuswekwa gerezani kwa kosa la Mauaji na wakoloni wa kiingereza
Alikaa siku 116 bila kula hadi pale serikali iliposarenda na kufikia naye mwafaka
Alipoteza uzito wa Kg 60
.......

Huku tupo mzee usiogopeIna maana hii Post yangu hamuioni au Ndio huku kuna ubaguzi na kujuana baadh ya wat fulan??![]()
vipiii tena shemelaMhhhhhhmhhhhh
Salama,kwemahabari za usiku familia
shemela umeanza uongo ujue kwa sakayo tunapanda raha leo au simba mtoto
yaan binamu huo mstari wa mwisho najua muhusika ni mimi...kweli eeh, yaani najifananisha na mgombea aliyeshindwa, wanaompa pole ni wengi kuliko kura alizopata.
Haya asante kwa kutofurahia huku ukitabasamu moyoni.
Na wanaofurahia leo nawakomesha subirini tu, tusilaumiane. Na msiseme natishia
Ungeondka bila kupenda tungekufanyia fitna ww,kwa hyo umeenda kwa mzee wa kungoa au kwa binamu obe![]()
![]()
![]()
![]()
sasa mngefanyaje kama Mzee kaamua!

mbona mumeo kasema unamjua ngoja akija nitakutambulishaHuwa namuona kwa mbali tu mke mweee
3/Mamba![]()
![]()
Ukimuona mamba anakulakula ujue huyo ni fisadi tu
Wana uwezo wa kukaa miaka 3 bila kula
.......

Nko poa shemela,akina D hawajamboUko poaa mkee ?
Uko jukwaa gn huo Uzi?!
kwema, mamboSalama,kwema