Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] mke mwee umeua hizo ndio za binamu alizozizoea na emoji ya ngumi
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] mke mwee umeua hizo ndio za binamu alizozizoea na emoji ya ngumi
[emoji2] [emoji2] [emoji2] nikisikia habari za saa nacheka sanaNimeokota saa ya mshale inafanana na yako maeneo yetu yalee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona umefurahi sana mimi kukataliwa , yaani najua leo kwako ni kama kirisimasi.
ni kweliiii [emoji2]Na shunie kala kuku
kweli dadaYa kweli hayoo.... Mbona hujasema siku zote hizo mdogo wangu jamani
[emoji2] [emoji2] hivi ubishi kakufundisha naniNipm wenu
aisee10/Ngamia![]()
Ana uwezo mkubwa wa kukaa bila kula wala kunywa maji ila ana jeuri ya kukaa muda mrefu bila kunywa maji kuliko kula
Anahifadhi baadhi ya maji anayokunywa kwenye nundu iliyoundwa kwa fatty tissues
Pindi anapokosa chakula na maji basi mafuta yaliyopo kwenye nundu huyeyuka na kugeuka maji na hivyo kuendelea kudunda tu
Ana uwezo wa kukaa bila kula kwa siku 40
.......
safi kakaswalama kabisa sister.. za huko?
sitaki hizo habari binamu baki nazo tu [emoji2]...kaagiza na ndizi za kuchoma, mwache afurahi. Ndo ajue anajikosesha habari zako tukiwa kule ulipookotea saa inayofanana na yangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] shemela shululu umesikia...uliokota na mkono?
Maana saa yangu kuanguka labda mkono uangushwe
Duh8/Mbwa![]()
Mbwa naye ni jeuri aisee....jeuri yake inatokana na kuwa na uwezo wa kurekebisha joto la mwili pindi awapo kwenye njaa ili iweze kuhimili hali hiyo
Ana uwezo wa kukaa bila kula kwa siku 117
........
asante mamy nimeshapoa unaendeleaje pole na mfungo
[emoji85] [emoji85][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wake wenza tulikuwa tunaandaa kikosi cha kuvamia bahati umeshtuka mapema[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nilitaka kufanya mapinduzi.
Poa T wa Sakayo hbr ya uzimaT wa S ...
Mambo
Sakayo mwenyewe unamjua mke mweePoa T wa Sakayo hbr ya uzima
[emoji57] [emoji57]Sijaridhika na jibu... Kwa hio sitamtag Lee.
Labda hujampa hela ya kula na saluniSawa bana