Makapuku Forum

Makapuku Forum

7/Emperor Pengine
99c463edb1bc32cd6896a51ee1f7119f.jpg

Kwa madume wana uwezo mkubwa wa kuhifadhi nishati kupitia mafuta yaliyopo mwilini kuliko majike ...hii ni Metabolism na hupoteza karibia nusu ya uzito wake
Wana jeuri ya kukaa bila kula kwa siku 120
........
Kazi ya muumbaji hiyo
 
5/Vyura
3d829848e1c0672fc697db5d1b5d3f49.jpg
fd533118dc8e4ede8a96bb04c2ed0ab1.jpg

Nawazungumzia vyura haswa sio wale wapinzani wa Simba
Chura huweza pia kupumua kwa kutumia ngozi...hii ndo hali pekee inayomwezesha kuwa na jeuri ya kumpa oxygen hivyo kukaa pia bila kula
Pia carbondioxide na maji huweza kupita kwenye ngozi
Ukimuona chura anakufa kipindi cha kiangazi ni mzembe tu !!!
Anaweza kukaa bila kula kwa miezi 16
.....
 
yani mwaka 1 na miezi 4 si mchezo
 
Aisee, nilijua chura atakuwa no 1
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom