Makapuku Forum

Huyu itakuwa alipotezwa na system.
 
Muziki na Kukumbushana

Habari Makapuku wenzangu, ni siku nyingine tena inayoishilia, yeah, ikawa asubuhi, mchana na sasa ni usiku lakini kama mnavyoijua JF na Makapuku forum, unaweza kuta kuna sehemu saa hizi ni saa mbili asubuhi watu wanapata stafutahi (hili neno linaendana na astashahada?)

Well, kuna muda unakuwa unatamani uwe tajiri sana na wakati mwingine uwe kichaa usitozwe kodi, hayo ndo maisha. Kutamani sio kosa, kosa linakuja pale unapotamani kitu kwa husuda.

Usiku huu kwenye muziki na utamu wa gitaa, sina maneno mengi sana. Nakuletea mwanamuziki maaruu kabisa wa Afro-Zouk Oliver N'Goma almaarufu Oliva Ngoma.

Wengi tunamkubuka kwa sauti yake tu bila kujua jamaa alikuwa ni mpiga gitaa mkali tu na aliwahi kufanya muziki wa reggae japo si kwa kiwango kikubwa sana maana baadaye alimezwa na kazi yake ya ukameraman hadi pale alipokutana na mkongwe Manu Lima huko paris ambapo waliandaa album iliyofanya vema na akaendelea kutoa nyimbo nzuri hadi pale alipofariki mwaka 2010. Ndo maisha.

Hebu mcheki hapa na kibao chake Adia

hadi wakti mwingine tena watu wema wa Makapuku.

 
Aya yametokea wapii mkuu ??

anyway ebhu yasiendelee nawaombaa...
 
Mkuu unakumbuka hii sio mara ya kwanza kulisema hilo..
Sina kinyongo naww wala hatujawah kwaruzana popote why nikuchukie?
Kiukweli mimi jibu lako sijalipenda hope hata wengine wameona.
Siyasemi kwa ubaya haya bro..
Bitoz
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…