Assante shemPolee
Na vile manuu yupo mbali....
Dah pole saaana

Mkuu, wapi tena?Aiseee.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Nimerudi mkuu.Mkuu, wapi tena?
Ha Haaaa......Assante shem
Hii baridi ndio Kwanzaa inaanza ikifika mwez WA sita itabid nihamie Dar![]()
![]()
Karib sana shemHa Haaaa......
Nina tripu ya huko nyanda za juu kusini Shem. Nitakuja kukujulia hali
Mzee nakutafuta saana.
Njoo faraghani tutete au unataka hapa hapaMzee nakutafuta saana.
Asante mkuuuKarib sana shem
Ha haa.....Njoo faraghani tutete au unataka hapa hapa
Poa poa ngoja hapa nilipo nile moko ya pongeziHa haa.....
Nakuja Mzee ila hapa pia sio mbaya. Nmekukumbuka saana.
Nashukuru kwa ushauri wako.
Ndoa IPO salama kabisa
Km kawa hadi server ziombe pooBado mnaliendeleza???
Mkuu habari za kutwaa.
Vipi mashamba yanaendeleaje?
Huku dar wazimaaa. Ila hali ngumu tuu.
Ila nafurahi kuwa umekubali matokeoNi sawa tu...wacha waje juu ti maana umewaweka curious toka post ya 900😡😡😡