sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
Mkuu habari za kutwaa.Usijali mkuu karibu...
Vipi mashamba yanaendeleaje?
Huku dar wazimaaa. Ila hali ngumu tuu.
Mkuu habari za kutwaa.Usijali mkuu karibu...
Mkuu sizzya007 achana na Jimena kama amekutolea nje, kuna mtoto nimemuona amepita hapa nahisi anaweza kukufaa. Anaitwa niah[/USE, nahisi atakuwa pouwa sana na atafit sana kwako.
Yaani unatemwa live live bila hata chenga wala no signal!Eeeh...mkuu!! Ni msiba
Huyu niah ni mwanaume mkuu,jamaa amekuingiza choo cha kike.

Nimeshamaliza mkuu, na sasa napiga kazi kama hakitajokea kitu vileMambo.
Hivi hujamaliza pesa za urithi???

Kama pesa imeisha ...mbona unakataaa offer mkuu jimena???Nimeshamaliza mkuu, na sasa napiga kazi kama hakitajokea kitu vile![]()
![]()
![]()
Hahahahahaha hata we pia ni wa ukweli![]()
![]()
Mimi ni kaka yako wa uongo.
Safi braza, karibu kilingeni.
Kijana naona hali yako si nzuri kabisa.
![]()
![]()
Mimi ni kaka yako wa uongo.
Yaani unatemwa live live bila hata chenga wala no signal!Eeeh...mkuu!! Ni msiba
Poa kaka,mishe vipi?salaam waungwana, mmeshinda salama?