Maaaamamaaaaaaaaaaaa, dadeki nilijua tu lazima kuna mkono wa mtu wangu wa karibu. haiwezekani saa otomatiki isimame bila sababu ya msingi, saa inategmea solar na mapigo ya moyo isimame vipi na hali bado ninaishi.
Sasa roho yangu itatulia, na inabidi nikuletee uirekebishe isome majira ya leo. halafu Cheusi anakutafuta sana maana juzi aliibua ugomvi na kidawa mkorogo kisa eti sijui wewe (sikuwa na sababu ya kutowaamini)
Mama maflower katoroshwa mimi roho inaniuma tu. Na hata kujua kuwa katoroshwa nimejua leo wakati wengine mnataarifa tangu juzi