Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hivi nikumbushee nilikupatajeeee...
hahahhh chizi ww nilivyoingia ulinidaka ujue naanza kuitwa baby [emoji85] kuna siku ilipostiwa picha ya mwanamke kibonge nikasema huyo kama mm kibonge cheusi ukasema utanibeba nikakuuliza utaniweza na ubonge nilionao ukasema ndioooo [emoji125] [emoji125] [emoji125] mukongo kazi yake kupiga debe tu
 
Mapenzi bwanaa...

Yanazaliwaa hayatengenezwiiii...

Huoni ya obe na mama mchuchu mwaka wote utafikir anachukua phd kwake
 
mimi nimeshaolewa ni mke wa mtu anaitwa lee empire halaf mitala mimi siiwezi yaan nijue tu unachepuka ila nisijue unaochepuka nao sawa mkuu kila la kheri na wake zako wa 4
sawa utakuwa mtu wangu wa kunisaidia kunitafutia huko kitaa wanawake wakuoa au sio?
lakini ni bora hii kuoa 4 mke unajua mume wako yupo wapi saa hzii kuliko kua pekeyako halafu ukawa una wasiwasi mume wako akaparamia wanawake kila aina .na mwisho wa siku akakuletea magonjwa
 
hahahhh chizi ww nilivyoingia ulinidaka ujue naanza kuitwa baby [emoji85] kuna siku ilipostiwa picha ya mwanamke kibonge nikasema huyo kama mm kibonge cheusi ukasema utanibeba nikakuuliza utaniweza na ubonge nilionao ukasema ndioooo [emoji125] [emoji125] [emoji125] mukongo kazi yake kupiga debe tu

Mimi kama kawaida nilikuwa mpenzi mtazamaji
 
Anko, mimi huyu shangazi namwangalia tu na unakumbuka ile juzi nikakuambia kuwa nahisi ndo ananiharibia. ukapendekeza twende tukapige ramli na ukawa tayari kununua jogoo la kupigia ramli? Bahati nzuri cheusi bonge alikuwepo hela ya kumlipa mganga tukanywea bia ,
Hahahhaha Obe[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
..uongeze wafike wangapi sasa mjomba wangu mfalme mswati? Kwenye hiace hawatoshi maana zimepigwa marufuku mjini, labda costa na mbagala siku hizi kuna uda, au unataka uongeze wajae kwenye mwendokasi wakati hayafiki kigamboni?
Na mmi ntasema yako apa yote walaaaiiii...

Kuwa na moyo wa huruma ushaambiwaa na aunt
 
Back
Top Bottom