Makapuku Forum

Makapuku Forum

jamani mm ninataka kuoa wake wanne kwa wakati mmoja .munaonaje huu ujanja maana ukioa mmoja halafu zikapita miaka ukitaka kuongeza atasema unamuonea.lkn nimewazaaa nikaona ili kuondoa haya maneno naoa wooote wanne kwa siku moja hapo imekaaje .nipeni ushauri zaidi.mmoja asubuhi.mmoja mchana.mmoja jioni saa kuminna mbili na mwengine wa nne usiku saa mbili
oa mkuu wanawake tupo wengi sana ndio vizuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom