Makapuku Forum

Makapuku Forum

d952477cb0a34baf23c4fef6bd74c74a.jpg

Yanga kukutana nusu fainali na Fc Leopalds
Wote wamepita kwa penati
Bonanza la Sportpesa
......
 
Saa yangu imepoteza majira, na nimejikuta najiuliza hivi ni lazima magazeti yasomwe asubuhi tu (sijauliza swali) vyote iwavyo, asante shululu kwa magazeti, lee empire kwa UF na upuuzi, Mussolin5 na Bitoz kwa historia.

Nisiwasahau member wote waliochangia tangu kumekucha bila kuwasahau wapenzi wasomaji wa Makapuku forum.

Ngoja nifuatilie kujua sasa ni saa ngapi ili nirudi na burudani.
 
10/Tarsier
697582cc2ce67837681396a12959ad8f.jpg
17188045c9780eaffccff305d0e3adf1.jpg

Sijui kwa kiswahili anaitwaje
Anapatikana huko Kusini Mashabiki mwa Asia katika misitu ya mvua akila mijusi,wadudu na baadhi ya ndege ambao hawaruki sana
Ana macho makubwa kuliko mamalia yoyote kulinganisha na umbile lake
......
 
9/Kinyonga
066d6fe996b575150f2a457ddf1ec5b1.jpg
27f4ffc576dd5dd569a217dd49d10349.jpg

Anajulikana zaidi kwa kubadili rangi kulingana na mazingira aliyopo ili kujikinga na Maadui
Macho yake yamezungukwa gamba ambalo huyakinga na kuachia sehemu ndogo kwa ajili ya kuona
Pindi aonapo wadudu au chakula basi huyaelekeza macho yote katika uelekeo mmoja
Pia ana ulimi mrefu unaomsaidia kukamatia wadudu
.....
 
8/Dragonfly
a40b028b5f0ad2b2b2d45d66dbf1fdfb.jpg
b86bd41fccb64aecaa2e5efe9f1573df.jpg

Nasikia kwa kiswahili anaitwa kerengende....enzi zetu za utotoni tulikuwa tunawachezea sana
Macho yao yana uono wa nyuzi 360
Macho yaoyanaundwa na Ommatidia 30,000
Ndiye mwindaji bora mipngoni mwa wadudu/insects
Pindi akitoa macho yake ni balaa maana kama ukimwangalia kwa mbele unaweza usikione kichwa
.....
 
Waarabu hawana Umoja miongoni mwao
Yaani hawapendani angalia tu huko Afrika Kaskazini ushirikiano ulivyo baina yao!!
Hata kwenye soka tu ni vita Kali
.....
Leo nimesikia Nchi za kiarabu hasa zile za Umoja wa Emirates wanamtenga Qatar.

Kuna mkono wa Trump hapo. Mashirika ya makubwa ya ndege za Emirate na Gulf Air wanasitisha safari zao kwenda Doha, Qatar.
 
6/Colossal Squid
6d8574277b3fd3052aece5e4f4506d8f.jpg
c4990db1370e648c07c8838fb57a3c1b.jpg

Hawa ni ngisi wakubwa wakubwa...ni mmoja kati ya wanyama wakubwa duniani kando ya Blue Whale
Ndiye mnyama mwenye macho makubwa zaidi duniani
Macho yake yana ukubwa/kipenyo cha karibu Sm 30
Lenzi za macho yake zina ukubwa sawa na chungwa
.......
 
Japo alinusurika kuuwawa kwa risasi mwaka 1981
Jamaa aliyemtandika risasi alikuwa na matatizo ya akili na aliamini kuwa akimuua rais pengine atakuwa maarufu na hivyo ataweza kumpata mwigizaji Jodie Foster.
3f7138570d5c5cf5c87b41ded1928206.jpg
Ndiyo maana hakufungwa kwa sababu mahakama ilijiridhisha kuwa jamaa alikuwa mgonjwa. Mwaka juzi aliachiwa kutoka katika mental facility alikokuwa akipatiwa matibabu.
144f8fa594f0b40d3d5322e8e8399f6e.jpg
Alianza kwanza kumfuatilia rais Jimmy Carter lakini alimaliza muda wake kabla hajatimiza azma yake. Na hapo sasa ikawa zamu ya Reagan...
a81693125bb2e7d468a0047ee3c598cc.jpg
 
Jamaa aliyemtandika risasi alikuwa na matatizo ya akili na aliamini kuwa akimuua rais pengine atakuwa maarufu na hivyo ataweza kumpata mwigizaji Jodie Foster.
3f7138570d5c5cf5c87b41ded1928206.jpg
Ndiyo maana hakufungwa kwa sababu mahakama ilijiridhisha kuwa jamaa alikuwa mgonjwa. Mwaka juzi aliachiwa kutoka katika mental facility alikokuwa akipatiwa matibabu.
144f8fa594f0b40d3d5322e8e8399f6e.jpg
Alianza kwanza kumfuatilia rais Jimmy Carter lakini alimaliza muda wake kabla hajatimiza azma yake. Na hapo sasa ikawa zamu ya Reagan...
a81693125bb2e7d468a0047ee3c598cc.jpg
Kama Bitoz anavyosemaga, Wamarekani sio wa kuwaamini sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom