Na mdomo inasemekana ndiyo unaongoza. Ndiyo maana kuna watu huwa wana-define kissing as nothing but a voluntary exchange of bacteria
♂️
♂️
♂️Ni kweliNa mdomo inasemekana ndiyo unaongoza. Ndiyo maana kuna watu huwa wana-define kissing as nothing but a voluntary exchange of bacteria♂️
♂️
♂️
Humu kuna mchunga kondoo na mchunga mbuzi
Muanze kututofautisha
.....

SijajuaNi Usuni na Ushia au ni divide and get the oil policy ya Wamarekani?
Kule uongo mwingi..MMU niliachaga zamani
Ndiyo Jukwaa linaloongoza kwa stori za uwongo
Huwezi kuamini nina zaidi ya miezi 3 sijaingia huko
Zaidi ya kuona vichwa vya habari kwenye New Posts
.......
Asante mkuu mchunga mbuziii...![]()
.
.
.
Tukutane muda ya saa 1 kwenye 10 kubwa
Ngoja nifuatilie mechi ya Yanga
.......