Makapuku Forum

Makapuku Forum

6/Danny Garcia[
442b02a8caa1d13791616629aba5e881.jpg
0582d50d82e3adb37fc8ca178bace747.jpg

Huyu ni bondia wa Kimarekani mwenye asili ya Puerto Rico
Amewahi kushinda ubingwa wa WBC na WBA(Super}
Ana vidole 6 katika mguu wa kulia
...
 
Ni dongo tosha kwa hawa wahamasishaji wa utajiri waliojaa kila kona. Mtu anakufundisha kanuni tano zitakazokufanya utajirike wakati yeye mwenyewe ukimwangalia hoi balaa. Na Mara nyingi unakuta ni mambo tu common sense wakati tayari wameshakutwanga 30,000. Ni afadhali nisome mawazo ya Masiriwa (bilionea wa Zimbabwe) au ushauri wa Mkinga milionea Shedede kuliko wa hawa wasaka tonge wenzangu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom