Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Ndo maana nakupendaatoka tu huwa sijafundishwa kubishana na mume
Ndo maana nakupendaatoka tu huwa sijafundishwa kubishana na mume
Bhinamu sasa ubaya wetu uko wapiiAunt, unavyonikasirikia utasema mimi ndo mwenye makosa, mimi nakuheshimu sana na ninakupenda mno. Mjomba angu ndo anafanya unifikirie sikuheshimu
Ndo nini hiyo WhatsApp moneyWhatsapp money
Na binti kimodo wakoooNa hujamuona kidawa mkorogo
hahahMange anakupotoshaa
MhBontel
hunipendi binamuAunt, unavyonikasirikia utasema mimi ndo mwenye makosa, mimi nakuheshimu sana na ninakupenda mno. Mjomba angu ndo anafanya unifikirie sikuheshimu
Na 17 uliyosema kachukua nikukopee ??
AiseeNa hujamuona kidawa mkorogo
AsanteTOP TEN
Wadau inajulikana kwamba idadi ya vidole mkononi au miguuni ni 10 yaani kila mkono au mguu ni vidole vitano
Ila wapo wanaozaliwa na vidole zaidi ya 10 miguuni au mikononi
Sasa tuangalie watu 10 maarufu waliozaliwa na vidole zaidi ya 10
NB
wapo ambao walizaliwa navyo zaidi ya 10 lakini hawakujikubali na hivyo kuviondoa ila pia wapo matajiri ambao waliviacha tu km vilivyo
Karibuni
.......
Ngoja tumpishe bitoz atuwekee mambo kwanzaNa hujamuona kidawa mkorogo
Tuko woteTOP TEN
Wadau inajulikana kwamba idadi ya vidole mkononi au miguuni ni 10 yaani kila mkono au mguu ni vidole vitano
Ila wapo wanaozaliwa na vidole zaidi ya 10 miguuni au mikononi
Sasa tuangalie watu 10 maarufu waliozaliwa na vidole zaidi ya 10
NB
wapo ambao walizaliwa navyo zaidi ya 10 lakini hawakujikubali na hivyo kuviondoa ila pia wapo matajiri ambao waliviacha tu km vilivyo
Karibuni
.......
Bhinamu sasa ubaya wetu uko wapii
Ngoja tumpishe bitoz atuwekee mambo kwanza
Wameigiza? Au ni yale yale ya akina Tupac Shakur?huyu ivan kifo chake mara waseme hajafa
Ni kweli Madenge. Mtoto wa dada na my best friend alizama na ile meli ya M.V Skagit na mpaka leo hatujui aliko. Kifo shwaiiiin kabisa!Wote tunakufa ila tunazikwa tofauti wengine makaburi ya zege wengine ya kawaida(kwa Waislamu wote huzikwa sawa)
Wengine ukaushwa(nasikia Kambarage akiwa hai alikataa hilo)
Wengine uzama majini na maiti zao hazipatikani n.k
We are all equal but sameless
....