Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Kuna mtu anakutafuta ila jina nimesahauUnafanya biashara gani tukuungishe.
Kuna mtu anakutafuta ila jina nimesahauUnafanya biashara gani tukuungishe.
Mtu gani huyo, mwanamke au mwanaume?Kuna mtu anakutafuta ila jina nimesahau
SanaaaaaaHaaaahaaaa. Majina mengine burudani.
Wivu huo mtoto wa kike eheee!hapana aisee acha tu niwaze vingine niwe kimya ili wakubebe watafute single mbona wengi tu wapo humu
Asante sanana kwako pia Jimena
Mmmmh! Nguo uchague wewe! Kimini. Mzeee hatari.Usitokee pale kona napita now ...ila naomba kama hujanipigia kile kimin sketii urud ukitupiee naujua ugonjwa wa bhinam angu
Salama hbr ya kuadimikaNjema dadangu za majukumu
Mi nahisi yeye ndo anapenda nivae mini skirt na sio binamu yake! Nitavaa tu maana hakuna namnaMmmmh! Nguo uchague wewe! Kimini. Mzeee hatari.
Pole na msiba, natumai kila kitu kilienda vyema na mmemaliza salamaAisee
Watu wazima walisawazisha. Hali ni shwari tena. Wagombanao ndio wapatanao.Hbr ya kushinda mke mweee,hali ya hewa ilichafuka mchana humu ndani palikuwa hapakaliki
MmmhKuna mtu anakutafuta ila jina nimesahau
Kumbe mpaka huyu?? Sikujua aisee3/Halle Berry![]()
![]()
Ni mmoja kati ya wanawake weusi warembo
Ila wengi hawajui kama ana vidole 6 katika mguu wake wa kushoto
Ni mcheza filamu wa Kimarekani
.....
Kweli kabisa,uhali gan lknWatu wazima walisawazisha. Hali ni shwari tena. Wagombanao ndio wapatanao.
Njema shedede.Wakuu habar
Shunie kasikia .Mi nahisi yeye ndo anapenda nivae mini skirt na sio binamu yake! Nitavaa tu maana hakuna namna