Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Usiofu anaohgeaa tu hajakuonaaWeeeeeeeeee nije na hela zangu????? Lee usije tena bwana..binamu yako hana pesa!
Usiofu anaohgeaa tu hajakuonaaWeeeeeeeeee nije na hela zangu????? Lee usije tena bwana..binamu yako hana pesa!
Akafiee ukohhahaa ndio
![]()
binamu nimecheka sana unaweza ukamkimbia mtu bar
Sijaamua, sema zenyewe ndo zimeniamulia.Bhinamu fursa hii acha hizo ..au likes ndo umeamua ziwe rafiki yako
Mbona ya binti mwajuma wako huyasemii ...??Sikia hii, tulikuwa mahali tunaangusha moja moja, mimi, anko na cheusi mangala mmoja bonge bonge
Mjomba: ...kwa hiyo unasemaje sasa, tumekubaliana kuhusu malavidavido
Cheusimangala: ...subiri nikajifikirie nitakupa jibu''
Mjomba: ....jipe muda wa kufikiria bili ya ulichokunywa utajilipia.
Mimi: Nitamlipia mimi
Baada ya kukamilisha muamala nikaondoka na cheusi, mjomba akaondoka na yule mhudumu
Sawa nakusubir ufike mtaa husikaNipo hapaa ...
Utakunywaa tutalipaaa uzur shunie bado msiba hauruhusu atokeBinamu yako hana hela. Basi tutuke mi na wewe. Nina ushauri wa kukupa!
Safari kwa safarimnasindikizwa na wahudumu mpaka nyumbani ni beer gani hizo binamu
Sasa hapo ndo huwa unanishangazaa ukishafikisha ya 5-6 unasahau kuwa shuny aunt ana maswali yasiyofikirikaaa
Unataka uwe bubu kulee make ukiongea tu harufu
Utajibu wewe....ooooh, poor me. Sijui nilisajisahau vipi, kwanini ulichelwa kuniambia kuwa utaulizwa maswali
Sikia hii, tulikuwa mahali tunaangusha moja moja, mimi, anko na cheusi mangala mmoja bonge bonge
Mjomba: ...kwa hiyo unasemaje sasa, tumekubaliana kuhusu malavidavido
Cheusimangala: ...subiri nikajifikirie nitakupa jibu''
Mjomba: ....jipe muda wa kufikiria bili ya ulichokunywa utajilipia.
Mimi: Nitamlipia mimi
Baada ya kukamilisha muamala nikaondoka na cheusi, mjomba akaondoka na yule mhudumu

mkilewa kumbe huwa mnasindikizana halaf mwisho wake inakua nini baba anguSasa hapo ndo huwa unanishangazaa ukishafikisha ya 5-6 unasahau kuwa shuny aunt ana maswali yasiyofikirikaaa
hahhaa ila binamu we sikupatii picha acha mama mchuchu aseme tu hakuelewi
amesema ana rambirambi anafikishajeSijaonaa hii coment
Tunasindikizana sababu njia ni mojaamkilewa kumbe huwa mnasindikizana halaf mwisho wake inakua nini baba angu
Hunipendi mjomba, atm ya CRDB watakubali niibebe?
Kama anakuja aje na hela zake tusitegemee za atm bhana
binamu sina hivi na mama mchuchu pia utamfanyia hivyo aje na hela zake
poa kakaPoa ngoja akikuja niongee nae